Vya hom havinogagi,
Raha ya bia uletewe na weita.
Na inanoga zaidi anapoimimina iliyobaki kwenye glasi na kukuuliza: "samahani kaka nikuongeze nyingine?"
Na wewe unajibu "bia za hapa kwenu tamu sana, mnaunga nini hivi?, lete ingine nawe chukua kinywaji chako"
ctd
Anzisha chako, akikukera mhudumu unatimua :lol::lol:
Utachunwaje wakati uko na wife au demu wako???
Na hizo pombe (unywaji) mpaka unazima sio unywaji pombe huo ni ulevi
Vya hom havinogagi,
Raha ya bia uletewe na weita.
Na inanoga zaidi anapoimimina iliyobaki kwenye glasi na kukuuliza: "samahani kaka nikuongeze nyingine?"
Na wewe unajibu "bia za hapa kwenu tamu sana, mnaunga nini hivi?, lete ingine nawe chukua kinywaji chako"
ctd
Sasa uko na waifu, mnaletewa glasi yenye ufa, meza haijafutwa, unamuita mhudumu anakuja baada ya nusu saa, unaagiz kesto unaletewa fanta, raha ya kunywea bar ndo ipi sasa???
Mmekuja na gari lenu bar, mtu anakuja anapaki nyuma ya gari lenu, kumtafuta unaambiwa msubiri arudi ametoka kidogo.
Anarudi baada ya masaa mawili mnaanza kupeana matusi ya nguoni. Mnatoka na gari njiani mnasababisha ajari kwa pombe zenu kichwani??? Ndio hara hizo??
Mkuu
Acha kwenda Bar
Nunua kilaji chako nywea homu na waifu au demu wako (kama ulivyosema)
Bar unaweza kubambikiziwa hata yasiyokuhusu
naanza kupata wasiwasi kuhusu hizo bar,
unazoenda na kukuta vitimbi vya hivyo ni baa gani hizo?
hebu endelea kutembea tembea, huenda ukapata sehemu tulivu zaidi!
Mkuu
Bar mi siendagi lakin najua sana vitimbi vyake
Mchagua Bar sio mnywa pombe
Labda useme unaenda kwenye migahawa ya bei mbaya na mahotelini
Lakin bado suala la kusababisha ajali njiani kwa pombe kujaa kichwani halina cha hadhi ya bar, isitoshe kurudi nyumbani usiku sometimes unaweza kupata usumbufu mkubwa njiani, achilia mbali ajali za kulewa, pia mnaweza kusimamishwa ovyo na polisi, mnaweza kuporwa gari njiani . . .n.k
Yaani kiujumla sioni faida ya kunywea pombe bar zaidi ya mazoea tu, hasa nyakati za usiku.
Au kama unazijua nitajie
kwani wote wanaonywea pombe bar ni walevi kiongozi?
naona hapa umeongea kiujumla sana ndugu!
Na wanawake mmenisupport kabisa kwamba hata nyie mkiwa peke yenu pia hamhudumiwi ipasavyo, kwa nini hamtoi ushauri kwa hawa wenzenu? Kuna hadi wanakukalia vibaya kwa makusudi ili tu wakunase kwa vile upo mwanaume peke yako. mbaya sana!!
Wakina dada wachoyo hawatoe ofa, kipu chenchi
Mkuu haya maelezo yanaonesha wazi kuwa wewe ni muhudhuriaji mzuri wa bar.Sasa uko na waifu, mnaletewa glasi yenye ufa, meza haijafutwa, unamuita mhudumu anakuja baada ya nusu saa, unaagiz kesto unaletewa fanta, raha ya kunywea bar ndo ipi sasa???
Mmekuja na gari lenu bar, mtu anakuja anapaki nyuma ya gari lenu, kumtafuta unaambiwa msubiri arudi ametoka kidogo.
Anarudi baada ya masaa mawili mnaanza kupeana matusi ya nguoni. Mnatoka na gari njiani mnasababisha ajari kwa pombe zenu kichwani??? Ndio hara hizo??
Pombe ya home hainogi kabisa