GSM anaihujumu yanga mkatae mkubali ndo hivyoHivi unachaguaji kocha ambae mawasiliano na wachezaji unakua mgumu?
Kocha anajua kuzungumza kiarabu na kifaransa tuu, wakati wachezaji wako wanaelewa Kiswahili, English(kama wapo) na wachache wanaongea kifaransa, vipi hapa wataelewana vizuri kupitia wakalimani ambao nao ni wachezaji?
Hivi kweli waliwaza vyema katika hili?
Wakipata matokeo mabovu wataanza kutafuta wa kymlaumu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sekilojo chambuaWatafute kocha mpare.
Hizo lugha ulizozitaja ndy lugha kubwa duniani.Hivi unachaguaji kocha ambae mawasiliano na wachezaji unakua mgumu?
Kocha anajua kuzungumza kiarabu na kifaransa tuu, wakati wachezaji wako wanaelewa Kiswahili, English(kama wapo) na wachache wanaongea kifaransa, vipi hapa wataelewana vizuri kupitia wakalimani ambao nao ni wachezaji?
Hivi kweli waliwaza vyema katika hili?
Wakipata matokeo mabovu wataanza kutafuta wa kymlaumu.
Yanga ni kama sigara kali tuu ....[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Hivi unachaguaji kocha ambae mawasiliano na wachezaji unakua mgumu?
Kocha anajua kuzungumza kiarabu na kifaransa tuu, wakati wachezaji wako wanaelewa Kiswahili, English(kama wapo) na wachache wanaongea kifaransa, vipi hapa wataelewana vizuri kupitia wakalimani ambao nao ni wachezaji?
Hivi kweli waliwaza vyema katika hili?
Wakipata matokeo mabovu wataanza kutafuta wa kymlaumu.
[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]Watafute kocha mpare.
Basi msukuma.[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]
Hahaa naona mpare katoa jichoBasi msukuma.
🤣Hahaa naona mpare katoa jicho