Ukiangalia watu wetu wengi hapa nyumbani barakoa wanayo moja kuna wakati anaivaa na wakati mwingine anaivua na kuiweka ama mfukoni au kwenye pochi.
Wale wanaotumia za " kujishonea wenyewe" ndio shida zaidi kwa sababu haifuliwi hadi week end.
Kwa utamaduni huu usitegemee watu hawa kuhoji chochote kuhusu ubora na uhalali wa chanjo.
Wao watang'ang'ania tu waletewe chanjo wakiamini kuwa ndio muarobaini wa Corona.
Kabisa, kuna watu mask wanazitumia Kama viziba macho ukiwa na usingizi (waliosafiri kwa ndege masafa marefu wanaelewa), wangine wanafunga mdomoni, yaani ni vituko...
Hv nyie mataga mnashida mbona mnakuwa wajinga hv so hamtaki watu wapewe chanjo ili tufe au,serikali itoe chanjo iwe option anaetaka sawa asiyetaka sawa Basi lkn sio wajinga wachache watuamulie afya zetu