Siwaoni wafia chama ni kweli wamekosa hoja

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Nafikiri Chairman mbowe aliwakata maini wafia chama wengi hawaonekani jukwaani na kile kikundi chao cha propaganda uchochezi na uzandiki,

Baada ya kumtuhumu mwenyekiti kalamba buyu la asali anataka kuchonga mzinga na akawachana mchana kweupe mbuzi anakula majani tena bila ya kuwaonea soni akawapa za uso,

Mwenyekiti kaendelea na ziara zake za kuimarisha chama kwa amani na utulivu bila bughuza wala matusi wala kumkwaza mtu kwa lugha mbaya.

Wafia chama waliokuwa wakifadhiliwa bundle toka ughaibuni wameishiwa hoja,
hongera chairman kwa kuzuia majungu walitaka kuharibu na kukichafua chama na kuharibu maridhiano ambayo uliyapigania muda mrefu hatimaye nafasi imepatikana,walijua chairman ni legelege mkumbuke wakati chairman anasota ndani wafia chama walikuwa wakila bata bila aibu,maendeleo ni vitu na watu sio siasa za matusi na kukaza shingo nchi ilishakombolewa hakuna ukombozi mara mbili!
Tukutane 2025 safari ndio ishaanza hivyo!
 
Kupandisha nyuzi nyingine hapa jukwaani ni kama kutaka kujichora vile! Hebu rudia kukisoma kile ulichokiandika wewe mwenyewe kisha utoe maoni yako! Empty case.
 
Nafikiri Chairman mbowe aliwakata maini wafia chama wengi hawaonekani jukwaani na kile kikundi chao cha propaganda uchochezi na uzandiki,

Baada ya kumtuhumu mwenyekiti kalamba buyu la asali anataka kuchonga mzinga na akawachana mchana kweupe mbuzi anakula majani tena bila ya kuwaonea soni akawapa za uso,

Mwenyekiti kaendelea na ziara zake za kuimarisha chama kwa amani na utulivu bila bughuza wala matusi wala kumkwaza mtu kwa lugha mbaya.

Wafia chama waliokuwa wakifadhiliwa bundle toka ughaibuni wameishiwa hoja,
hongera chairman kwa kuzuia majungu walitaka kuharibu na kukichafua chama na kuharibu maridhiano ambayo uliyapigania muda mrefu hatimaye nafasi imepatikana,walijua chairman ni legelege mkumbuke wakati chairman anasota ndani wafia chama walikuwa wakila bata bila aibu,maendeleo ni vitu na watu sio siasa za matusi na kukaza shingo nchi ilishakombolewa hakuna ukombozi mara mbili!
Tukutane 2025 safari ndio ishaanza hivyo!
Fia chama chako cha wanachukua chako mapema,wewe na Chadema wapi na wapi🤔.
 
Kazi ipo!
 
Back
Top Bottom