Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Bila shaka hamjambo.
Kabla tumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kutupatia uhai na pumzi yake bado tungalipo.
Bado dunia inahangaika na covid-19 ,Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ,japo sisi tunapambana na ugonjwa wa kupumua,jana nilivyomuona Dr.Mpango ndo nikajua mhhh huo ugonjwa ni shida...chukua hatua.
Kuna baadhi ya wadau tangu mwaka huu uanze sijawaona kabisa ndani ya jukwaa hili waki-post wala ku-comment sio kawaida yao kama ilivyozoeleka ,ukiandika uzi wako kama sio kuja kuupinga ni kukutukana.
1.Getamancyne
Huyu jamaa ni MATAGA kindakindaki kazi yake kubwahumu ilikuwa kuwazoda au kuwatukana wapinzani hasa akina Mbowe,siku hizi simuoni kabisa amemwachia hiyo kazi Johnthebaptist ,japo huwa ana balance post zake mrengo wa kulia 80% na mrengo wa kushoto 20%.
2.Magonjwa Mtambuka.
Sina kumbukumbu kama aliwa ku-post nyuz yoyote humu jukwaani,kazi yake ilikuwa ni ku-reply au -ku-comment kwemye nyuzi za watu wengine ,sasa kutukana Great thinker, uwezo wa kung'amua jambo ulikuwa mdogo sana,yeye kilichokuwa kina mbeba ni 24 hour to 7 days hewani hakosi,kuja kwenye post yako na kutukana ila tokea mwaka huu uanze sijamuona kwenye ku-reply nyuz yoyote humu jukwaani
3.Paskali Mayala
Mmoja mwa wana Jukwaa ambao past zake nyingi huwa zinaibua maswali,wengine tukimuita msemaji wa serikali nje ya serikali,simuoni humu jukwaani sasa tangu mwaka huu sijajua kilichomsibu huko alipo,nakumbuka tu neno lake "Karma is real".
4.Faiza Foxy
Mwana mama pendwa katika jukwaa hili ,mwanamama huyu pia nina siku nyingi sijamsikia huwa sio kawaida kutokuingia humu jukwaani mara kwa mara.
Ukimuacha Paskali Mayala ambae ni Verfied member humu wengine ukimya wao unaweza ukatutia mashaka kidogo ,najizua kusema.
Leo nimewakumbuka hawa wana jukwaa kwa post zao za kuelemisha haswa za Paskal,Faiza Foxy,pia nawamis MATAGA kindakindaki Gerntamanycine na Magonjwa popote mlipo Mwenyezi Mungu aendelee kuwarehemu.
Je kuna unaemkumbuka katika jukwaa hili pendwa linalotukutanisha known and uknown person (verfied vs unverified member )
Karibu.