sasa kwa suala la kuogesha watoto tatizo liko wapi? ni kuambiwa uwaogeshe au ni kwamba baba kuogesha wanawe ni vibaya??? mbona hivi jamani! khaa!
Kama ingekuwa si majamboz, ningemuoa dada yangu. After all ni mzuri kuliko wife. Asikudanganye mtu mama, Ndoa ni MAJAMBOZ! Kama ni usafi hata dada yangu na mama yangu wanayamudu sana, nisingekuwa na haja ya kuoa! Kwishnei!
mhh umeenda mbali kidogo, ngoja nikuachie hapa mana kila mtu ana tafcr yake ya ndoa......
Be sincere! Sema umeukubali ukweli!
ukweli upi sasa....unapotaka kuniletea mambo ya kihindi?
You Can Say It Again Bwashee! Utandike kitanda afu wife atafanya nini?
Kwamba Sababu kubwa ya watu kuonana ni kumegana! Siyo kutandika vitanda na blabla nyingine sijui usafi na kuogesha watoto.
Kwamba Sababu kubwa ya watu kuonana ni kumegana! Siyo kutandika vitanda na blabla nyingine sijui usafi na kuogesha watoto.
hiyo ni tafcr yako wewe mie yangu ni tofauti kabisa.....
...duuuh,
hapana bana, mimi nimeoa nipatee mwenza wa maisha...for better and for worse til death do us apart...
Ameen.
some pipo bwana, sasa mtoto ni wako ushindwe na kumfanyia usafi....kwa hili naweza kusema ndio nasaidiwaga mara moja moja.....
He he makubwa kwa hiyo ina maana wewe Chriss na Geoff hamwezi kuwasaidia wake zenu kutandika kitanda? hivi mnajua kuna wanawake wengine wanaondoka asubuhi sana kwenda kazini na anamwacha mume wake nyumbani,kwa hiyo kama umeachwa nyumbani wife akirudi atakuta kitanda kiko hovyo hovyo,je hiyo ni sawa? Yaani kama nyinyi hamsaidii wake zenu kutandika vitanda nahisi mlipokua mabachela nyumba zenu zilikua haziingiliki kwa jinsi zilivyokuwa rough.
Ok! Then tell me why didn't you marry your brother? Isn't he handsome?
Hahaha! Kila utakayemuuliza hapa atasema hubby wake anamfanyia hivyo. Hata wife wangu huwa namsikiaga akijifagilia kwa wenzie jinsi navomsaidiaga! Kalaghabaho! All men same same. Nimesoma boarding school tangu O-level mpaka chuo, sikuona tofauti yetu. So, women, keep on cheating yourselves.
Sasa tatizo liko wapi hapo?nakwambia Nyamayao, kuna wababa wengine ni balaa kana jehanam, mtoto mpaka anakua hajawahi kuogeshwa, kubadilishwa nepi wala kulishwa na baba yake, baba akiwa amempakata akilia tu anakabidhiwa kwa mama haraka sana,
Sasa tatizo liko wapi hapo?