nakwambia Nyamayao, kuna wababa wengine ni balaa kana jehanam, mtoto mpaka anakua hajawahi kuogeshwa, kubadilishwa nepi wala kulishwa na baba yake, baba akiwa amempakata akilia tu anakabidhiwa kwa mama haraka sana,
Kaka vipi?? mbona wapo wanaosaidia japo mara moja moja, pia wapo wanaochacharika kuliko hata wake zao, halafu kuna wale majority ambao wanaungana na yule muimbaji aliyesema eti sijui maharage yanaungua na "kazi za ndani haziishi mke sina...mke mweema anatoka kwa Bwana..."
yaani utafikiri anatafuta house girl vile??
Hakuna lolote hapo kua na ukaribu na mtoto sio mpaka umbadilishe nepi!!!tatizo na kwamba watoto wanakosa mapenzi ya baba, yaani watoto jinsi wanavyokuwa wakubwa hata wanavyoongea na baba ni tofauti na anavyoongea na mama kwa sababu u close wao na kina baba una walakini, sio vizuri jamani...tuwatendee haki watoto
Well said nsha kugongea ka thanx!Ulishawahi kusikia wimbo wa mume *****? Asikudanganye mtu bana. Mume atabakia kuwa mume, na mke atabakia kuwa mke. Thats why nyoka akiingia ndani mama haingii mpaka mzee aje afanye vitu vyake. Kama paa la nyumba linavuja baba atachacharika, kitasa cha mlango kimeharibika mzee atafanya vitu vyake au siyo? Banda la kuku sijui limefanyaje mzee anatafuta nyundo na vitu kama hivyo!
Mama ataendelea kuwa pambo la nyumba. Usafi hiyo ni sehemu ya kazi yake. Usafi wa nyumba na watoto, kupika na kupakua bila kusahau kufua na kumpa mzee ile huduma muhimu. Mtoto akiwa mchafu atakayesemwa ni mama, nyumba ikiwa chafu atasemwa mama nk nk.
Acheni baba aitwe baba na mama aitwe mama. Hakuka kitu bama au maba! FULL STOP!
mimi msimamo ule ule!mke wangu anapaswa kulijua hilo kwamba:
KUFUA
KUTANDIKA KITANDA
USAFI
KUPIKA
AND ALL DAMN DOMESTIC JOBS NI ZAKE
mimi kama mwanaume nina majukumu yangu!kufanya kila jambo ni kunikosesha muda wa kupiga TASKA NA KUTENGENEZA MARAFIKI
Hakuna lolote hapo kua na ukaribu na mtoto sio mpaka umbadilishe nepi!!!
mimi msimamo ule ule!mke wangu anapaswa kulijua hilo kwamba:
KUFUA
KUTANDIKA KITANDA
USAFI
KUPIKA
AND ALL DAMN DOMESTIC JOBS NI ZAKE
mimi kama mwanaume nina majukumu yangu!kufanya kila jambo ni kunikosesha muda wa kupiga SERENGETI NA KUTENGENEZA MARAFIKI
You can say it Again....nshakugongea!!Mpwa kaangalie senks nimekugongea kule. Leo mtazipata senksi zangu sana wapwa. Hii mada mmeitendea haki, ma-SHE wote wamesepa, kabaki king'ang'anizi nyamayao na mwenzie triplets. Hawa kwa taarifa yenu waume zao hata hawajui neti zinashushwaje, wanatuzuga hapa tu!
Kama paa la nyumba linavuja baba atachacharika, kitasa cha mlango kimeharibika mzee atafanya vitu vyake au siyo? Banda la kuku sijui limefanyaje mzee anatafuta nyundo na vitu kama hivyo!
Acheni baba aitwe baba na mama aitwe mama. Hakuka kitu bama au maba! FULL STOP!
serengeti zinaongeza konfidensi kwenye ndoa!Bwashee kaangalie senksi ya hiyo red nimekugongea.
Hakuna lolote hapo kua na ukaribu na mtoto sio mpaka umbadilishe nepi!!!
Haya nepi usimbadilishe na kumbembeleza akilia nako vipi???
serengeti zinaongeza konfidensi kwenye ndoa!
Mpwa kaangalie senks nimekugongea kule. Leo mtazipata senksi zangu sana wapwa. Hii mada mmeitendea haki, ma-SHE wote wamesepa, kabaki king'ang'anizi nyamayao na mwenzie triplets. Hawa kwa taarifa yenu waume zao hata hawajui neti zinashushwaje, wanatuzuga hapa tu!
Nimbembeleze? kama ana njaa maziwa ya kumnyonyesha ninayo mimi? Si mama ndio ana matiti jamani? Akilia ni kazi ya mama kumbembeleza na kumtimizia anachohitaji.