Yeah, the same to my analysis.Hapo ndiyo patam ,kila mtu na mtu wake then game over.
Kilichotokea tarehe 29 serikali kwa kutumia askari wake wale mavi ya kuku walifanikiwa kwasababu hakuna aliyetarajia kama serikali ingeliweza kufanya yale waliyoyafanya.
Wakithibuti kufanya kama vile hapo Tar 09 December nisawa na kutoa tangazo rasmi la vita.
kwasababu family nyingi za askari zipo mitaani maana yake askari hawatakubali family zao ziukiwe so kitakachotokea ni askari kukabiliana na askari wenzao ,wanajeshi kukabiliana na wanajeshi wenzao na raia kukabiliana na raia wenzao na wanasiasa kukabiliana na wanasiasa wenzao.
Nikwambie tu kitu mkuu , askari wanaoungamkonp huu upuuzi niwachache sana tena hasa wale wakuu .
Wanajeshi wanaoungamkonp huu upuuzi niwachache sana tena Tanzania nzima wanaweza wasifike hata 100 .
Lanyongeza nikwamba kila mtu hadi sasa yupo tayari kwa lolote .
Hapa ndipo tulipo.
Wajitekenye waone , watu wanawatamani haijawahi kutokea.
Mnabahati sana wangekuwa wale wenye noah mngekula shabaMimi naendelea kuamini.... Kama tusingepewa uhuru kwa kalamu, tungekuwa wa mwisho kupata uhuru wetu.
Wakati wa lockdown, nikatoka kuchukua mahitaji... Mara gari la polidi likawa linakuja, watu wakataka kuanza kukimbia, unauliza shida nini? Eti askari wanakuja, ni saa 8 mchana, zuio linaanza saa 12... Tunakuwaje waoga kiasi hiki? Of course polisi walipita zao bila kuuliza kitu.
Kumbe sheikh majini alikuwa Kibaka mkuupolisi walikua hawana shida na watu walio kuwa wanaendelea na maisha yao, wao walikua wanatafuta wahaini na vibaka.
Siku hiyo nenda kalinde mali yako dhidi ya wezi na waharibifu, sasa utamuomba mwizi asikuibie umeona wapi hiyo?fanyeni maandamano mpaka mshibe, cha muhimu msituvunjie biashara na kuiba mali zetu. Kama mtaamua kuuana na polisi basi hiyo ni juu yenu, kila mtu ana haki ya kufa kama akipenda. Fungueni na thead moja humu muweke majina yenu ili tuje tufanye maomboleze siku za mbele
Kama kweli vile!To face the bullet
Mimi nawapa false hope keyboard warriors tu, siwezi kuwa mjinga kuhatarishanmaisha yangu kizembe yaani niende na jiwe mwenzangu ana Gun ni upuuzi mkubwa.Kama kweli vile!
Wee jamaa mbona mgumu kuelewa taarifa tunazozipitisha humu .Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Kwahiyo faraja Yako ni wewe Kuona Main Stream Media wanaripoti?Wakisharipoti ... Halafu... ..?Wee jamaa mbona mgumu kuelewa taarifa tunazozipitisha humu .
Maandamano ya Tarehe 9 Dec ikiwa Risasi Moja tu Mwandamanaji akaanguka chini, Mtasikia Vyombo vya Kimataifa vitakavyoripoti.
Samia must go !!.
Wewe jiandae, Umeibagaza hii Nchi sana, Jiandaeni tarehe 9 mnaondoka Kwa namna yoyote Ile.Kwahiyo faraja Yako ni wewe Kuona Main Stream Media wanaripoti?Wakisharipoti ... Halafu... ..?
Mtaani kwetu wakati huo huo wa lock down kuna jamaa alikula chuma tarehe 30 saa 4 asubuhi usiwalaumu hao waliotaka kukimbiaMimi naendelea kuamini.... Kama tusingepewa uhuru kwa kalamu, tungekuwa wa mwisho kupata uhuru wetu.
Wakati wa lockdown, nikatoka kuchukua mahitaji... Mara gari la polidi likawa linakuja, watu wakataka kuanza kukimbia, unauliza shida nini? Eti askari wanakuja, ni saa 8 mchana, zuio linaanza saa 12... Tunakuwaje waoga kiasi hiki? Of course polisi walipita zao bila kuuliza kitu.
Kwahiyo wakiuà the way out ni vyombo vya kuripoti...what we want to avert is killing people.Wee jamaa mbona mgumu kuelewa taarifa tunazozipitisha humu .
Maandamano ya Tarehe 9 Dec ikiwa Risasi Moja tu Mwandamanaji akaanguka chini, Mtasikia Vyombo vya Kimataifa vitakavyoripoti.
Samia must go !!.
Hii ya dunia kuangalia ndo tunapofeliMsijali maana dunia yote itakuiwa inaiangazia Tanganyika siku hiyo.
Malaya lazima watakuona Cha moto
Ha ha ha tuondoke kwenda wapi man liwalo lolote hapa ni nyumbani ! Ila kikubwa tu usiache kutoka ukawaacha wenzio wakipikutika. Hizo bullet usiziogope ni vyema mkagawane ili tukose wa kulialia kwamba mmeonewa.Wewe jiandae, Umeibagaza hii Nchi sana, Jiandaeni tarehe 9 mnaondoka Kwa namna yoyote Ile.
Hilo ulizingatie.
Hongera kwa kutambua hilo.Bahati nzuri hakuna atakayeishi milele.
Mimi naendelea kuamini.... Kama tusingepewa uhuru kwa kalamu, tungekuwa wa mwisho kupata uhuru wetu.
Wakati wa lockdown, nikatoka kuchukua mahitaji... Mara gari la polidi likawa linakuja, watu wakataka kuanza kukimbia, unauliza shida nini? Eti askari wanakuja, ni saa 8 mchana, zuio linaanza saa 12... Tunakuwaje waoga kiasi hiki? Of course polisi walipita zao bila kuuliza kitu.
Sawa tuonane tarehe 9 Dec ,Ha ha ha tuondoke kwenda wapi man liwalo lolote hapa ni nyumbani ! Ila kikubwa tu usiache kutoka ukawaacha wenzio wakipikutika. Hizo bullet usiziogope ni vyema mkagawane ili tukose wa kulialia kwamba mmeonewa.