Kawaambie wasiojua lolote huko vijijini, kilichoendelea tulikiona. Hata hivyo usijali, tarehe 9 tunarudi tena barabarani na hao polisi wasigumse mtu uone kama kuna kitakachoharibiwa. Ila siku hiyo lazima mlete ushahidi wa wapi zimetokea kura 31m.polisi walikua hawana shida na watu walio kuwa wanaendelea na maisha yao, wao walikua wanatafuta wahaini na vibaka.
Nyie ni nyumbu na mtaendelea kuwa chakula cha mamba maana akili zenu mmezifungia kabatini hamna kazi nazo mnatumia za Mange na Maria sarungiHaki Haipatikani kwa Uwoga. Muhimu ni kuwe na strategies(mikakati) from one point to another na sio emotions tusiwe kama nyumbu wanaovuka mto ilihali wakiona wenzao wakiliwa na mamba because nobody cares so kujilinda sisi iwe first priority and the rest will follow
Ukiona raia wanakimbia polisi ujue hao siyo raia ni wahalifu miaka yote hatukuona raia wakikimbia polisi na hata sasa hawakimbii polisiUkiona Raia wanakimbia Polisi katika Nchi yao, Ujue hao sio Polisi, Ni Kikundi cha Kigaidi.
Mitaa nilio kuepo watu walikua wanakimbia Polisi, hawakimbii wanajeshi.
Kama una akili utaelewa
Hakika wewe ni mpumbavu na huna ubinadamu kabisa, watu wameuawa hasubui ya saa tano wakiwa madukani wanaemea tena ni wamama, halafu wewe unasema eti polisi hawakuwa na shida na raia wema, wao walikuwa wanaua vibaka tu?polisi walikua hawana shida na watu walio kuwa wanaendelea na maisha yao, wao walikua wanatafuta wahaini na vibaka.
I doubt yatatokea mauaji tena maana tupo kwenye surveillance na this time media zote zitakuja nchini so haitatokea yale yalitotokea. If anything wataweka lockdown hata ya siku mbili kabla ya Dec 9 ila hamna yupo tayari kuua tena.Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Mi sijapata hata jambia, hii ya silaha ni kupeana matumaini km ya wajeda wa MO29Nmeota raia wanasilaha za moto.
Nchi ina wanafiki sana hii ☺😭😭Halafu mnaobeza hapa watu kujitokeza D9 ushindi ukipatikana mtakuwa wa kwanza kushangilia..!!
Nchi ina wanafki sana hii
Ndiyo ufe kiboya hivyo!! Lazima uwepo mpango kazi wa kujihami.Bahati nzuri hakuna atakayeishi milele.
Let them come.Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Na hiyo ndiyo hoja yangu kuuNdiyo ufe kiboya hivyo!! Lazima uwepo mpango kazi wa kujihami.
MaandamamanoTulipokuwa ni salama zaidi ila hii second round itawapa maneno wanasiasa tena. Ilitakiwa kulinda tulichokionesha kisiondoke, what if maandamano yatafeli? Hatutapoteza tena ushawishi?
Umeshafkiria baada ya kulipa kisasi kwenye familia zao na wao watarudisha kwa nani????The way forward we also Shoot the killer or we kill the shooter by any means or kill the shooters familly as part of reprisal.
hatuishi milele sisi hata wauwaji muda wao upo palepale
Nikuondoe hofu kama itakuwa ni shoot to kill we will apply the same .Hata wao hawata kuwa tena na uhakika wa kusimama 50% .Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Kwahiyo unashauri nini? Au ndo umetumwa kuwatisha?Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Ni kweli.... during lockdown nimetembea wanajeshi tulikuwa tunagonga 5 tuUkiona Raia wanakimbia Polisi katika Nchi yao, Ujue hao sio Polisi, Ni Kikundi cha Kigaidi.
Mitaa nilio kuepo watu walikua wanakimbia Polisi, hawakimbii wanajeshi.
Kama una akili utaelewa