Maandamano ya Tarehe 9 itakuwa Kama mtego kwao sio kwamba hawajui wanajua sana maana watu wataandamana kwa amani bila uharibifu wa miundombinu ambao kwao ilikuwa kama kisingizio chakufanya mauaji this time hiko hakita kuwepo Sasa Kama wakaamua kufanya Tena mauaji itakuwa wamejizika rasmi na hawatakuwa na kujitetea Tena dhidi ya vyombo vya habari vya nje na kuanzia hapo ndio kutakuwa rasmi na vitaKuna mjinga mmoja simjibu msg zake niliona tunakoelekea tungegombana kazi yake ni kuwasema vibaya wanaotaka kuandamana D9
Mara ya mwisho aliniambia kwa dharau D9 nimkamulie mtoto maziwa mimi nikaandamane waniue.
Hilo ndio jibu sahihi. Uzi ufungwe sasaBahati nzuri hakuna atakayeishi milele.
Kwani itakuwa mara ya kwanza?🚮🚮🚮🚮Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
This is a special case of mass killings, we had never witnessed such killings in Tanganyikas/Tanzanias lifetimeKwani itakuwa mara ya kwanza?🚮🚮🚮🚮
Nutakuwepo, ndiyo maana nasema tunafanyajeWewe utakuwa wapi?
Unafki unawatesa na roho mbaya!!Kama walivyobeza October 29
Mkuu tafuta hata mishale yenye sumu, vijijini mbona ipoNutakuwepo, ndiyo maana nasema tunafanyaje
Kama kawaida,mnapeana moyoI doubt yatatokea mauaji tena maana tupo kwenye surveillance na this time media zote zitakuja nchini so haitatokea yale yalitotokea. If anything wataweka lockdown hata ya siku mbili kabla ya Dec 9 ila hamna yupo tayari kuua tena.
Serikali na vyombo vya usalama ni vitu viwili tofauti kiufupi vyombo vya usalama wameamua liwalo na liwe na hawamsikilizi mtu maana hawana cha kupotezaSafari hii police hawataua kwasababu wakifanya hivyo Mama Samia atakuwa rasmi ni muuaji usione serikali imekaa kimya inajutia maamuzi waliofanya angalia Sasa hivi anavyolia kukosa mikopo kutoka nje ni kwasababu ya athari ya maandamano ya October 29 unafikiri kwa akili ya kawaida atataka arudie Tena kumbuka pia hiyo D9 vyombo vingi vya nje vitaweka Kambi hapa
Nilijizima data nikafungua kiduka alooh sitakuja kurudia hawa watu ni kama walikuwa wanatafuta sababu ili wafanye yaomkuu usije jaribu tena…Shukuru tu Mungu
Sasahiv hawatofanya hiyo kitu, wako exposed. Watajitahidi sanaWakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Hili hapa la Mjamaica Claude Mckay ambalo linahimiza kupigania haki zetu.Kuna shairi la Profesa Joan Mwaikusa the late, kama nimepatia, linaitwa If we Must die
Uoga usizidi mkuu.... inaweza na mimi ningeweza kula shaba na kuingia katika takwimu, ila niligoma kukimbia bila kosa!
Hapo nimekupata Mkuu, Ikiwa kama ulivyosema hivyo itakuwa poa sanaFoffana Mkuu maandamano ya Tarehe 9 yamewekwa Kama mtego kwa serikali unajua kwanini? Maandamano ya October yalikuwa hayajapangiliwa vizuri ni kwasababu ilikuwa ni mara ya Kwanza kiistoria mipango haikukaa sawa, ya D9 yamekuja na fundisho kwa maana ya kwamba mpangilio umewekwa wapi inapaswa yafanyike tofauti na mwanzo maana hakutakuwa na uharibifu wa miundombinu kwa kupata fundisho kupitia maandamano ya awali badala yake watu watakuwa na mabango ya kuonesha Nini wanataka kipengele labda walete polisi lakini serikali wanajua Hilo hawawezi kufanya Kama October 29 Tena maana wao ndio watakuwa waanga Kama chochote kitatokea