City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Serikali na vyombo vya usalama ni vitu ttofautiSerikali na vyombo vya usalama ni vitu viwili tofauti kiufupi vyombo vya usalama wameamua liwalo na liwe na hawamsikilizi mtu maana hawana cha kupoteza
kabisaa …Yaani ni kama hili jambo lipo sijui hata nisemaje? kuna mda nahisi hata samia anahujumiwa…caz lilivuka mipaka…kuna maeneo hayakuandamana kabisa lakini ni kama yalilazimishwa..Usithubutu tena hivyo. Ni hatari kuliko wale waliokuwa wanaandamana front.
Kama huna kosa kaa ndani lakini unatembea tembea unasikia vyuma vinalia watu wanakimbia wewe unajifanya huelewi. Wengi wamepasuka
Sio uoga mzee na wala sio kukimbia ovyo ,siku iyo tar 30 tumekaa tu na ni saa saba mchana ikaipita gari ina vioo vyeusi imetuvuka tu ikawasha risasi pale pale tulipokuwa tumekaa ikagonga chuma uzuri sikukimbia ivyo but nilitake cover ktk kiwambaza cha zege waliokimbia ovyo wlikuwa ktk risk, siku zile ilikuwa unatakiwa kujiepusha makundi iwe dukani au kutembeaUoga usizidi mkuu.... inaweza na mimi ningeweza kula shaba na kuingia katika takwimu, ila niligoma kukimbia bila kosa!
Sio kwa nchi ya tz ambayo haifuati protocolSerikali na vyombo vya usalama ni vitu ttofauti
vyombo vya usalama ni Polisi ambayo ipo chini ya wizara ya mambo ya ndani, jeshi lipo chini ya wizara ya ulinzi, Tiss ipo chini ya wizara ya utumishi.
utasema wizara na serikali ni vitu tofauti?
Unataka tusemeje kuwa wananchi wabebe silaha kujibu mapigo? Huo mtego hatuingii.Kama kawaida,mnapeana moyo
We die once, na ukifa hakuna kinachokuhusu hapa ulimwenguni. Usiogope sanaUsithubutu tena hivyo. Ni hatari kuliko wale waliokuwa wanaandamana front.
Kama huna kosa kaa ndani lakini unatembea tembea unasikia vyuma vinalia watu wanakimbia wewe unajifanya huelewi. Wengi wamepasuka
Nimekusoma... Ila uoga usizidi...mkuu usije jaribu tena…Shukuru tu Mungu
SAY-NGAYTo face the bullet
Watoto wameuliwa pia.polisi walikua hawana shida na watu walio kuwa wanaendelea na maisha yao, wao walikua wanatafuta wahaini na vibaka.
We die once, na ukifa hakuna kinachokuhusu hapa ulimwenguni. Usiogope sana
Ukombozi una gharama kubwa.Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Mtaje hapa turuke nae huyo kunguruKuna mjinga mmoja simjibu msg zake niliona tunakoelekea tungegombana kazi yake ni kuwasema vibaya wanaotaka kuandamana D9
Mara ya mwisho aliniambia kwa dharau D9 nimkamulie mtoto maziwa mimi nikaandamane waniue.
ACHA KABISA KUJIDANGANYAKwani hawaoni ya gizani yamekua peupe? Warudie kosa lilelile? Hii dunia sio ya familia zao! Hamna risasi itarushwa siku hiyo wakati wanajua satellite zimeboreshwa zaidi on spot
Kwahiyo bidada unapenda watu wauliwe?Kama kawaida,mnapeana moyo
mjingamimiKatika ulimwengu wa sasa nguvu kubwa ya kuhamasisha Umoja ni mtandao na mitandao ya kijamii.
Vipi kama watarudia kama Mwanzo kuzima mitandao kiasi kwamba wa kimara wasijue kinachoendelea gongolamboto na wa tegeta wasijue kinachoendelea Mbagala?
Wazo lolote kuhusu hapo Wakuu?
Vyombo vya Usalama zinapokea amri kutoka kwa raisi na ndio maana mama akasema before ya maandamano kwamba hakutakuwa na nywinywinywi Wala nywi nywi nywi ulielewa vizuri hiyo kauli?Serikali na vyombo vya usalama ni vitu viwili tofauti kiufupi vyombo vya usalama wameamua liwalo na liwe na hawamsikilizi mtu maana hawana cha kupoteza
TindoKatika ulimwengu wa sasa nguvu kubwa ya kuhamasisha Umoja ni mtandao na mitandao ya kijamii.
Vipi kama watarudia kama Mwanzo kuzima mitandao kiasi kwamba wa kimara wasijue kinachoendelea gongolamboto na wa tegeta wasijue kinachoendelea Mbagala?
Wazo lolote kuhusu hapo Wakuu?
Muhimu sana... ila nilijisikia hasira sana siku ile, watu tupo gengeni kuchukua mahitaji ya familia, tuanze kukimbia! Fuxk the Police!Sawasawa.
Ila tahadhari ni muhimu.