4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Mshale😃Waandamanaji wakikosa hata mishale nitashangaa sana!
Pole mwayaKuna mjinga mmoja simjibu msg zake niliona tunakoelekea tungegombana kazi yake ni kuwasema vibaya wanaotaka kuandamana D9
Mara ya mwisho aliniambia kwa dharau D9 nimkamulie mtoto maziwa mimi nikaandamane waniue.
Wakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Hakuna ataksyeishi mileleWakipewa amri ya SHOOT TO KILL kama last time, what is the way forward?
Unataka tuende mikono mitupu waue ndugu zetu tena kama Oct.29 huku wao na familia zao tukiwatazama tu ? Nigga hivi hata maandamano ya Oct.29 ulishiriki kweli ?Unataka tusemeje kuwa wananchi wabebe silaha kujibu mapigo? Huo mtego hatuingii.
Hatushauri hilo sababu mtawapa justification ya kusema ni magaidi, majambazi hivyo watahalalisha mauaji.Unataka tuende mikono mitupu waue ndugu zetu tena kama Oct.29 huku wao na familia zao tukiwatazama tu ? Nigga hivi hata maandamano ya Oct.29 ulishiriki kweli ?
Sijali wao waite vile wanavyotaka maana hata sasa wanatuita vibaka na wameua ndugu zetu.Hatushauri hilo sababu mtawapa justification ya kusema ni magaidi, majambazi hivyo watahalalisha mauaji.
If anything 9 December hakuna mtu atauwawa ni mjinga pekee anaweza rudia kumimina risasi muda kama huu ambapo tayari 29 October imeshatuchafua duniani kote.
wapi wewe kila siku kelele tu, vitendo 0, we ni mpiga kelele tuTuakutafuta nguruwe wewe tukufanye kitoweo.
Unataka vitendo gani wakati unahaingaishwa na ukweli unaokumbushwa kwamba wewe ni nguruwe mfugwaji tu ambaye karibuni utakuwa kitoweo cha Samia huyo huyo anayekufuga.wapi wewe kila siku kelele tu, vitendo 0, we ni mpiga kelele tu
nakukumbusha tu Kama una uchungu sana andamana leoUnataka vitendo gani wakati unahaingaishwa na ukweli unaokumbushwa kwamba wewe ni nguruwe mfugwaji tu ambaye karibuni utakuwa kitoweo cha Samia huyo huyo anayekufuga.
Sure, Kuna hatari ya hili ulilosema kutokea.Hapo ndiyo patam ,kila mtu na mtu wake then game over.
Kilichotokea tarehe 29 serikali kwa kutumia askari wake wale mavi ya kuku walifanikiwa kwasababu hakuna aliyetarajia kama serikali ingeliweza kufanya yale waliyoyafanya.
Wakithibuti kufanya kama vile hapo Tar 09 December nisawa na kutoa tangazo rasmi la vita.
kwasababu family nyingi za askari zipo mitaani maana yake askari hawatakubali family zao ziukiwe so kitakachotokea ni askari kukabiliana na askari wenzao ,wanajeshi kukabiliana na wanajeshi wenzao na raia kukabiliana na raia wenzao na wanasiasa kukabiliana na wanasiasa wenzao.
Nikwambie tu kitu mkuu , askari wanaoungamkonp huu upuuzi niwachache sana tena hasa wale wakuu .
Wanajeshi wanaoungamkonp huu upuuzi niwachache sana tena Tanzania nzima wanaweza wasifike hata 100 .
Lanyongeza nikwamba kila mtu hadi sasa yupo tayari kwa lolote .
Hapa ndipo tulipo.
Wajitekenye waone , watu wanawatamani haijawahi kutokea.
Kwani nguruwe hawana midomo? Mbona maisha yako yote kama nguruwe ni kula uchafu kwa kutumia mdomo huo huo.maskini mwenye mdomo 😂
mzee wa kelele nyingi vitendo 0 😂Kwani nguruwe hawana midomo? Mbona maisha yako yote kama nguruwe ni kula uchafu kwa kutumia mdomo huo huo.