Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
What use is all that if the woman doesn't love you or respect you any more and non of the children are yours? You will do all the voodoo you want but it won't solve anything. Kwanza, kwa nini umuachie mwanaume mwenzako amzalishe mkeo in the first place?
Jamaa akichukua watoto wake mshikaji ataaibika kinoma sasa solution ni kumloga jamaa apotee zake huko manake yeye aliombwa msaada ...msaada wenyewe adimu kama huo halafu anataka kuharibu kila kitu ni kummaliza tu
lakini Pia huyo mwanamme hana mamlaka ya kuwachukua watoto wale watoto wamezaliwa ndani ya ndoa
Lakini haya maisha mbona kuna watu wana maamuzi ya ajabu sana
Mtoto ni mapenzi toka kwa mola yeye aliyewapa ndoa ndio atawajaalia mtoto pia kwa wakati autakao
Hata bila kuwachukua kwani ni aibu tayari mpaka sasa,watu na ndugu wameshatambua kuwa jamaa yule ndio anakula pale na ndio mwenye wale watoto. Bado watoto tu ndio hawajui kwani mkubwa ndio amemaliza darasa la saba kutokana na kisa chenyewe na wanajiuliza kama wawafahamishe watoto baba yao halisi au la.
uwiii jamani.........
Ndio matokeo ya kutenda bila kufikiri kwanza.Wenzetu nchi zilizoendelea kila kitu kinaenda kwa mikataba.Huenda angekua na ueledi basi angeweza kutabiri huko mbeleni itatokea nini.Kumruhusu rafikio akujue undani wako wote kwa kumzalisha mkeo ni kosa kubwa ambalo madhara yake ni makubwa kizazi hadi kizazi.Hata hawa ambao wameamua kugandana na kumpiga kibuti mwenye mke halali hawataishi kwa amani na raha kamwe.Watoto wakikua watakuja kujua ukweli wa kilichotekea hadi wakazaliwa.. itawasumbua sana.The best thing jamaa anaweza kufanya ni kumuacha huyo mke, then aende sehemu nyingine ambayo watu hawamfahamu aanze maisha mapya.
.
I agree with you 110% mkuu. Kitu ambacho watu hawaelewi ni kwamba ndoa 1st and for most is husban and wife. Once you are husband and wife then there you already have a family. Children don't build the family but rather add to the family which was initially husband and wife. I think the problem is people not seeing a husband and wife as already a family unit and thinking that only with the presence of children can a family truly be a family. Nadhani kwa wengi tatizo ni definition yao ya what makes a family.
Kweli definition ya family iko na utata - hakuna a general one to cater for all.Kuna watakaosema kuwa familia ni ile nucleus family - baba, mama na huongezea humo na watoto.Kuna watakaosema kama wewe kuwa familia ni baba na mama.Kuna bado watakaosema ni hao pamoja na extended family members - wakwe, shemeji/mawifi, wasaidizi etc.Waafrika wengi hawaoni kama mke na mume ni familia tosha na hivyo hudhani lazima watoto wawepo ndipo ikamilike.
..Halafu fikiria jamaa anakula mzigo na wife wako we uko seating room unajifanya kuangalia runinga unasikia jinsi mamsapu anavyolalamikia mambo huko ndani...walahi naweza kuvunja mlango!!!Mhh mbona utata jamni binafsi siwezi kukubali kabisa kutembea na rafiki wa mume wangu!! Ndoa ni sheria kuzaa na majaliwa jamni!!
mami ndoa ni nn kama mume na mke walikubaliana wafanya hayo? nadhani anaweza kuchukua wanae tena kilaini kabisa, mana na mke atasema watoto sio wa mumewe na walishapanga iwe hivyo.....nahic huyu mume atajitundika, huyu mme nae ni dhaifu jamani utamwambiaje mkeo alale na frnd wako mpaka watoto wote hao wakazaliwa....huyo frnd ndio kashakuwa mume sasa....
I agree with you 110% mkuu. Kitu ambacho watu hawaelewi ni kwamba ndoa 1st and for most is husban and wife. Once you are husband and wife then there you already have a family. Children don't build the family but rather add to the family which was initially husband and wife. I think the problem is people not seeing a husband and wife as already a family unit and thinking that only with the presence of children can a family truly be a family. Nadhani kwa wengi tatizo ni definition yao ya what makes a family.