Hakuna shida kabisa kuna kipindi kitafika hamu itakataHabari zenu wana jamii forum
Mm ni kijana miaka 22 , kuna katabia ninacho nahisi kama ni tabia hasi hivi [emoji2363]. Nikiona dumu la asali tu mate yananitoka, hadi inafika wakat nikiona asali home najimiminia kwenye chupa nakaa nalo chumbani na ni mwendo wa kulamba tu[emoji16][emoji56]
Mwenye kujua,je haina madhara matumizi ya asali kupitiliza? Maana kuacha uongo