Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
SITAKUJA KUHESHIMU SERIKALI YEYOTE DUNIANI HATA SIKU MOJA. MTUME PAULO ALIKUWA MAMLUKI YA WATAWALA KWA MASLAHI YA WATAWALA NA AKAIPOTOSHA JAMII.
Hakuna Serikali inayotoka kwa Mungu bali ni mitazamo ya wanadamu kwa maslahi ya kuwahadaa Wananchi ili waheshimiwe hata Kama wanafanya maovu. Na ndio maana wakajipachika jina la Waheshimiwa. Leo Serikali zetu Zina pindua matokeo ya Uchaguzi halafu unalazimishwa kuitii Serikali, leo Serikali zinataifisha Mali na mawazo ya watu wasio kwenye mamlaka na kuwapa watu wengine kwa maslahi Yao na kuwa weka Vizuizini wahusika wenye Mali na mawazo husika.
Leo Serikali zinateka watu nakuwafanyia unyama kisa hawasaopti Serikali, Leo Serikali Zina lazimisha watoto wa Viongozi wao kuolewa na watu Fulani kwa Lazima wakati mapenzi ni mguso na hiari(voluntary and inspiration), leo Serikali hazipendi kuona Vijana wenye mawazo wakifanikiwa Kama kina DON NALIMISON na kuwafanyia udhalilishaji.
Hapa ni wapi Mwananchi aitii Mamlaka kwa hujuma inazofanya? Ingekuwa imeamriwa na Mungu kutii Mamlaka Basi huko Mbinguni Shetani asingetaka kupindua Kiti Cha Enzi Cha Mungu maana Shetani alimheshimu Mungu na alimtii isipo kuwa Shetani alikuwa na wivu na ndio ulimponza. Unyama na manyanyaso ya Serikali ndio uliosababisha Nchi za Kiafrika kuandamana Serikali ya Mkoloni kuachia Madaraka na wakaachia na kujitawala kwa Uhuru.
Serikali ya Mkoloni Afrika Kusini ilimpigia magoti Nelson Mandela baada ya Mandela kukataa kuitii Serikali kwa unyama na manyanyaso kwa Wananchi na hivyo Mandela alikuwa na alikuwa na nguvu ya ushawishi kuliko Serikali na Wananchi walimtii Mandela na hawakuitii Serikali maana iliwakandamiza kila eneo. Idd Amini alimpindua Shemeji yake Obote baada ya kufanyiwa unyama jeshini kwa kupewa vyeo vya kijeshi kwa Mateso makali na hivyo Amini alishindwa kutii ujinga wa Serikali ya Obote, Zaire wamekuwa wakipinduana kutokana na Serikali kuonea watu wema, Rwanda na Burundi hali kadhalika, Lola Nkunda alishindwa kuitii Serikali ya Kagame kutoka na Mateso wanayopewa Wananchi kupitia Majeshi.
Libya Gadafi alipinduliwa na Serikali ya Marekani kutokana na Mateso aliyokuwa akiwapa Wananchi huku akijifanya Gadafi akijifanya MTU mwema. Huwezi ukaitii Serikali inayotawala Kama haitaki uishi kwa Uhuru na Amani ni Bora KUPAMBANA nayo naukaishinda. Na ndio maana Leo hii Kuna makundi yanaitwa "WANAHARAKATI" lengo ikiwa kupinga ufhalimu wa Serikali.
MTUME PAULO(Warumi 13:1-3)katika Biblia Agano jipya alikuwa Mwanasheria wa Serikali akaokoka akaacha kazi na kuanza kuikosoa Serikali kila Kona kuwa inaenda kinyume na matakwa ya Mungu. Serikali ilimtesa Sana Paulo ikiwemo kumfunga bila sababu na Paulo alikuwa sahihi maana aliijua Serikali vizuri. Kutokana na Mateso kuwa mengi sana MTUME Paulo akarubunika na Majeshi ya Nchi yàke na akawaambia Wauumini Waitii Mamlaka ili Wasiteswe Kama yeye, Serikali ilitumia mgongo wa Dini ili kutafuta heshima na utii kwa nguvu kwa mgongo wa MTUME Paulo. Kinyume chake Yesu Kristo aliyehubiriwa na MTUME Paulo hakuitii Serikali yake mpaka anakufa, Yesu alijua Serikali ni ovu kubwa Sana na inankandamiza watu na hivyo aliikosoa kwa kuitengenezea mifumo mipya lakini Serikali haikutaka mifumo ya Yesu na Yesu hakutaka mifumo Yao ya manyanyaso.
Hivyo Paulo alienda kinyume na Yesu na hivyo kusema kuwa Paulo alikuwa MAMLUKI ya Serikali. Leo Viongozi wa Serikali wanatumia Viongozi wa Dini kuhadaa Wananchi ili waonekane ni wema kumbe mafala wakutupwa. Kama kutoitii Serikali ni dhambi mbona Kuna vyama vya Upinzani vinavyozipinga Serikali kwa kufanya ukandamizaji? Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump aliwahi kusema" Sisi hatuabudu Serikali Bali tuna mwabudu Mungu" hii ni kuwa Serikali inatakiwa kuwatii Wananchi maana ndio walipa Kodi, wapiga kura, watoa maoni mazuri ya kujenga Nchi. Na ndio maana Afrika Kusini Makaburu walimpigia magoti Mandela. Mimi Don NALIMISON binafsi siwezi kuitii Serikali yoyote kwani Viongozi wengi ni maboya na Mabwege na ndio maana wanaonea watu kwasababu za kijinga ikiwemo kubambika kesi watu wema ili wasifanikiwe.
Serikali za kipindi Cha Paulo zilishinikiza Nyaraka zote za MTUME Paulo ziwekwe kwenye Biblia ili Serikali iheshimike na watu wazitii Serikali na ndio maana Paulo ana Nyaraka nyingi kwenye Biblia kuliko hata wafuasi wa Yesu. Paulo ni MAMLUKI mkubwa na Msaliti wa Waumini wanokandamizwa na Serikali. MTUME Paulo mpaka anakufa hajawahi kukutana na Malaika wa Mungu. Hapo ndio ujue hakuwa MTUME wa Mungu bali MTUME wa Serikali. Leo Kuna Viongozi Wadini ni MAMLUKI wa Serikali. Turejee maneno binafsi ya Kimwili ya Mawazo binafsi ya sio ya Kimungu ya MTUME Paulo, Warumi 13:1-3:
Warumi 13:1
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
Warumi 13:2
Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
Warumi 13:3
Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;
Warumi 13:4
kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga bure; kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu, amlipizaye kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.
Warumi 13:5
Kwa hiyo ni lazima kutii, si kwa sababu ya ile ghadhabu tu, ila na kwa sababu ya dhamiri.
NB: Usikubali kutumika na Serikali kwa maslahi ya kijinga. Usikubali kuabudu Nyoka Wala kuishi na Nyoka ndani mwako maana Nyoka ni Mitazamo ya Kishirikina na Wachawi wa Serikali, Nyoka ni Jini na Nyoka Kiumbe mbaya anayetumika na Serikali kumdhalilisha jamii kwa kisingizio Cha mizimu ya Uongozi kumbe ni ujinga na Upumbavu mkubwa.
Simu: +255 682 94 29 01.
Nawatakia siku njema.
DON NALIMISON
4/5/2021
####$$$$#########
WHY CAN I NOT RESPECT OR OBEY THE GOVERNMENT EVEN IF IT DOES GOOD?
I AM NEVER A PUPPET, I WILL NOT RESPECT OR OBEY ANY GOVERNMENT IN THE WORLD EVEN ONE DAY. THE APOSTLE PAUL BECAME A PUPPET OF THE RULERS IN THE INTERESTS OF RULERS AND DECEIVED THE COMMUNITY.
No government comes from God but it is the attitude of the people in the interest of deceiving the people so that they will be respected even if they do evil. And that is why they put the name of the nobles. Today our Governments are reversing the results of the Elections and then you are forced to obey the Government, today the Governments are confiscating the property and ideas of people who are not in power and give them to others for their own interests and put in detention those with assets and ideas. Today Governments are kidnapping people and brutalizing them if they do not support the Government, Today Governments are forcing the children of their Leaders to marry certain people by force when love is touching and voluntary (inspiration), today Governments do not like to see like-minded young people succeed. humiliation. Here is where a Citizen obeys the Authority for the sabotage he commits? It would have been commanded by God to obey the Authority. Then in Heaven Satan would not want to overthrow the throne of God because Satan respected God and obeyed him unless Satan was jealous and it was you who healed him. It was the brutality and oppression of the Government that led the African Countries to protest against the Colonial Government to relinquish power and to relinquish their sovereignty. The colonial government in South Africa knelt before Nelson Mandela after Mandela refused to obey the Government brutally and violently against the people and so Mandela was more powerful than the Government and the people obeyed Mandela and did not obey the Government because it oppressed them everywhere. Idd Amini overthrew his brother-in-law Obote after he was brutally tortured in the army by being given military titles by the Great Persecution and so Amini failed to obey the ignorance of the Obote Government, Zaire have been overthrown due to the Government oppressing good people, Rwanda and Burundi Kagame Government from the Torture inflicted on the Citizens through the Armed Forces. Libya Gaddafi was overthrown by the US Government due to the persecution he was inflicting on the people while pretending to be Gaddafi pretending to be a good man. You cannot obey the ruling government. If you do not want to live in freedom and peace, it is better to fight it and win it. And that is why today there are groups called "ACTIVISTS" aimed at opposing the Government.
THE APOSTLE PAUL (Romans 13: 1-3) in the Bible The New Testament was a State Attorney who was saved and resigned and began to criticize the Government in every corner for going against God's will. The government severely tortured Paul including imprisoning him without cause and Paul was right because he knew the Government well. In the face of so much persecution the Apostle Paul was surrounded by the Armed Forces of his State and told the Believers to Obey Authorities so that they would not be persecuted like him, the Government used the backbone of religion to seek strong honor and obedience on the back of the Apostle Paul. Conversely Jesus Christ preached by the Apostle Paul did not obey his Government until he died, Jesus knew the Government was very evil and oppressed the people and so he criticized it for creating new systems but the Government did not want Jesus' systems and Jesus did not want their systems of persecution. So Paul went against Jesus and thus said that Paul was the EMPIRE of the State. Today Government officials use religious leaders to deceiveIn order for the people to be seen as good, they are to be thrown away. If disobedience to the Government is a sin why are there Opposition parties opposing the Government by committing oppression? Retired US President Donald Trump once said "We do not worship the Government but we worship God" this is that the Government should obey the people because they are the taxpayers, the voters, the good commentators to build the country. And that is why in South Africa the Makaburu knelt on Mandela's knees. I personally Don NALIMISON personally cannot obey any Government as most Leaders are buoys and Mabwege and that is why they oppress people for stupid reasons including slandering good people so that they do not succeed. The governments of Paul's day insisted that all the Epistles of the Apostle Paul be kept in the Bible so that the Government would be respected and the people would obey the Government and that is why Paul has more Epistles in the Bible than even the followers of Jesus. Paul is a great CHARACTER and a Betrayal of the oppressed Believers. THE apostle Paul has never met an angel of God until his death. Then you will know that he was not the Messenger of God but the Messenger of the State. Today There Are Religious Leaders are Government Agents and Puppet. Let us return to the personal words of the apostle Paul's personal non-divine thoughts, Romans 13: 1-3:
Romans 13: 1
Let every soul be subject unto the higher powers. for there is no authority except from God; and that which is, is ordained of God. Romans 13: 2 So the one who does not have authority over the things of God; and the contending shall be for the judgment.
Romans 13: 3
For rulers are not a terror to good works, but to the evil. Do you want to be afraid of the authorities? Do good, and you will have praise from it; Romans 13: 4 for he is a servant of God to you for good. But if thou do that which is evil, be afraid; for thou shalt not take the sword in vain; for he beareth not the sword in vain: for he is the minister of God, a revenger to execute wrath upon him that doeth evil. Romans 13: 5 We must therefore be obedient, not only because of the wrath, but also because of our conscience.
NB: Do not allow yourself to be used by the Government for stupid gain. Do not worship the Snake Do not live with the Snake in you because Snakes are Superstitious Attitudes and Witches of the Government, Snakes are Jinn and Snakes An evil creature used by the Government to humiliate society under the pretext of the spirits of Leadership but it is ignorance and folly.
I wish you a good day.
DON NALIMISON
Musician and Philosopher in Political Thoughts
4/5/2021
E-mail: donnalimison70@gmail.com
Phone: +255 682 94 29 01.