Mbona wapo wengi sana! binafsi nimeshapokea simu nyingi sana kutoka Tanga, Iringa, Mwanza na Kilimanajoro kwa watu walioina namba yangu kwenye tangazo la biashara lililotoka katika Mwananchi, wote wanataka niwaunganishe na Diamond eti kwa kuwa niko Dar. bahati mbya sifanyi kazi ya ukuwadi dogo angekimbia kwao.