K KotelaMamba JF-Expert Member Joined Apr 8, 2020 Posts 701 Reaction score 1,241 Jul 8, 2023 #41 rodrick alexander said: Hivi Kuna sehemu Ina vijana mashoga kama Arusha, watu wanajifanya marasta kumbe wanatafuta mabwana wa kizungu Click to expand... Si kweli arifu. Impact ya mashoga, madawa, malaya n.k kwa eneo lolote inaathiriwa na idadi ya Watu.
rodrick alexander said: Hivi Kuna sehemu Ina vijana mashoga kama Arusha, watu wanajifanya marasta kumbe wanatafuta mabwana wa kizungu Click to expand... Si kweli arifu. Impact ya mashoga, madawa, malaya n.k kwa eneo lolote inaathiriwa na idadi ya Watu.
Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Jul 8, 2023 #42 Dar haihitaji Watu Maskini na wajinga wajinga. Hilo tuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 8, 2023 #43 Ulipokuwepo huko zaidi wanaishi wa mikaoni...
mkolechi Senior Member Joined Feb 27, 2022 Posts 183 Reaction score 159 May 22, 2024 #44 uttoh2002 said: Huwezi elewa uzuri wa Dar es Salaam kirahisi. Click to expand... Dar siyo sehemu ya kutafuta pesa kwa Sasa ni sehemu yakutumia na kuzalisha pesa ,ukienda kutafuta pesa Dar ,umechelewa kwa sasa
uttoh2002 said: Huwezi elewa uzuri wa Dar es Salaam kirahisi. Click to expand... Dar siyo sehemu ya kutafuta pesa kwa Sasa ni sehemu yakutumia na kuzalisha pesa ,ukienda kutafuta pesa Dar ,umechelewa kwa sasa
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 May 23, 2024 #45 mkolechi said: Dar siyo sehemu ya kutafuta pesa kwa Sasa ni sehemu yakutumia na kuzalisha pesa ,ukienda kutafuta pesa Dar ,umechelewa kwa sasa Click to expand... Dah, fuatilia records za finances na Makusanyo dar halafu soma tena ulichoandika utagundua wewe ni mtu wa aina gani.
mkolechi said: Dar siyo sehemu ya kutafuta pesa kwa Sasa ni sehemu yakutumia na kuzalisha pesa ,ukienda kutafuta pesa Dar ,umechelewa kwa sasa Click to expand... Dah, fuatilia records za finances na Makusanyo dar halafu soma tena ulichoandika utagundua wewe ni mtu wa aina gani.