Siwezi Kusahau Definition nilizokariri nikiwa form I and II - Science

Siwezi Kusahau Definition nilizokariri nikiwa form I and II - Science

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Wakuu,

Wengi mtakumbuka ukifika form one unakutana na kiingeleza masomo yote, wakati ule shule zote zilikuwa kayumba format, kwa hiyo tulipata tabu sana hasa tuliochomokea vijijini kujua lugha kwa haraka. wengi pamoja na mimi tuliamua kukariri notice za ticha walau usipate sifuri -- sasa mambo niliyoshika miaka ile ya 90 hadi leo hayatoki. nakukumbusha tu machache kama haya kwenye Kemia na Fizikia form one na Two.
-----------------------------


Matter is anything which can occupy space and has got weight and volume
Three states of Matter - Solid, Liquid and Gas
Chemical change - new substance is formed; change in weight; not reversed to original state:
Physical change - no new substance is formed; no change in weight; can be reversed to original state:
Charles Law – Pressure constant
Boyles Law – Temperature constant
Everybody continues in its state of rest until external force applied to it - 1[SUP]nd[/SUP] law of Motion
The rate of change of momentum is proportional to the imposed force and goes
in the direction of the force - 2nd law of Motion
F=MA (hii tulipenda sana kuitamka tulikuwa na maana yetu) ha ha ha
Action and reaction are equal and opposite – Third Low of motion - 3rd low of Motion
Posocamazilc – Potassium, Sodium, Calcium, Magnesium, Zink, Iron Lead, Hydrogen and Copper – Metal reaction series
(Popular Scientific Can Make a Zuu In Law Level Humidity Country
Hydrogen pop sound – Lab Test
Common apparatus in the Lab – Bunsen banner, Kuchora na Ku -label Vernier Caliper, test tube n.k


Hizi ulikuwa hata ukiamshwa usiku wa manane lazima ziwe kichwani - tulipofika form three ndiyo tukaanza kuelewa - ile kazi ya kuzishika hizi ilikuwa pevu.

ni kumbukumbu tu wakuu wangu -- watu walikuwa na uwezo wa ku-cream daftari zima - unahamisha hadi nucta. ha ha ha

 
Kitambo sana,umenikumbusha mbali sana.Nilikuwa na jamaa yangu mmoja yeye ni bingwa wa kukariri.
 
Wewe mtu,umewaza nini leo?
Yaani umenikumbusha mbali sana...

Good news ni kwamba,mwalimu wangu wa Chemistry alinifanya nipende somo lake,hadi sasa nakaribia kugraduate my MD.I miss this teacher,hata sijui yuko wapi siku hizi.
 
Kitambo sana,umenikumbusha mbali sana.Nilikuwa na jamaa yangu mmoja yeye ni bingwa wa kukariri.
kuna jamaa walikuwa wanakariri hadi nukta. sasa wakati wa kukariri ukimsemesha akikujibu kasahau palepale.

jamaa anasoma notice then anaangalia mbinguni as if anaomba mvua -- kumbe ndiyo process ya kuyaingiza kichwani - ha ha h a
 
Nadhani 95% ya watanzania wamepitia kwenye hiyo kitu,wengine hadi usiku wanaota,what is biology?,alafu anaanza kufunguka mwazo mwisho.
 
If a body is fully or partially immersed in a fluid, it displaces its own weight of the fluid.
 
density-is mass per unit volume
bookkeeping-is the art of recording financial transactions in a set of books in terms of money or moneyworth
geography is he study of man and his sorroundings
lugha-ni mfumo wa sauti za nasibu zilizopangiliwa ili kuleta maana katika jamii



888hiyo ya book keeping niliimezaga kwa mbinde sana,sitasahau
 
If a body is fully or partially immersed in a fluid, it displaces its own weight of the fluid.
yes mkuu mimi hii niliipigaga ki hivi:

A body partially or whole immersed in liquid looses its weight equally to the weight of liquid displaced by it.

umecheki sasa hapo sikuweza kubadilisha hata neno, ni unahamisha ilivyo, sasa ukisahau neno moja katikati kwisha kazi - ha ha ha
 
duuh nakumbuka nilijifunza ku pronounce neno "CHARACTERISTICS" mwezi mzima......hatari
katakarisis.....iiii
kataristukis -- iiii
katakarisis -- iiiii

Yaani shughuli pevu lazima uanze kumkumbuka maza home kama ulikuwa bording - ha ha ha
 
katakarisis.....iiii
kataristukis -- iiii
katakarisis -- iiiii

Yaani shughuli pevu lazima uanze kumkumbuka maza home kama ulikuwa bording - ha ha ha

ilikua balaa mkuu..kuna jamaa yangu aliambiwa asome neno "CHAMPAGNE" jamaa akasimama kwa kujiamini akapronounce "champagine" duh akala viboko vya kutosha..maticha walikua waonevu balaa
 
Umenikumbusha wakati tunasoma 12 Cranial Nerves...

Oh, Oh, Oh, To Touch A Female's Vagina Gives Vinny A Hard-on

Oh Once One Takes TheAnatomy Final Very Good Vacations AreHeavenly
 
  • Thanks
Reactions: SMU
kale kawimbo ka kukariri elements nani anakakumbuka? Hamisi, HEmed,Lile, Beberu, Bora, Nani, Kachinja ,Pale
....

.......
malizieni wadau wengine tumeshasaha mambo ya electron configaration. tution ubungo social club kwa yese na emi, mambo ya mchikikichini mbuzi area.
 
Halima Hemedi Chinja lile beberu....blablabla,na yule mzungu aliyesimama serengeti club arudishe kesho cash


kuna ya planets,nilikremishwa darasa la tano hadi leo nakumbuka (MEVEDU of MAJUSA UNEP)Mercury,Venus,Dunia of MArs jupiter saturn uranus neptune plutto
 
Mi kuna hili neno la bayoloji... CHARACTERISTICS of living things, we acha tu
 
Halima Hemedi Chinja lile beberu....blablabla,na yule mzungu aliyesimama serengeti club arudishe kesho cash


kuna ya planets,nilikremishwa darasa la tano hadi leo nakumbuka (MEVEDU of MAJUSA UNEP)Mercury,Venus,Dunia of MArs jupiter saturn uranus neptune plutto
Hamis Hemedi, Lile Bereru bora chinja na Ondoa figo Zote na mgogo aliyeiba simba pale serengeti club arudishe kabla ya kesi.... Ya hadi nimesahahu mipangilio...
 
Umenikumbusha wakati tunasoma 12 Cranial Nerves...

Oh, Oh, Oh, To Touch A Female's Vagina Gives Vinny A Hard-on

Oh Once One Takes TheAnatomy Final Very Good Vacations AreHeavenly

chezeya pcb wewe. elimu ya bongo we acha tu.msuli unaopigwa advance ni mkubwa kuliko wa chuoni.yaani chuoni atleast unapumua.
 
Hata mimi umenikumbsha mbali sana kwenye 80's nikiwa form one. Hata hivyo kuna kitu umesema VEIN CALIPAR kama sikosei ni VENIUR CALIPUS inatumika kwa measurements ndogondogo.

Mimi nilikuwa napenda the study of living organisms hivyo nilijitahidi sana kukariri neno CLASSIFICATION: Classification is the grouping of animals according to their similarities and differences in the structural characteristics... mpo hapo? neno classification lenyewe wiki, similarities siku tatu, differencies siku mbili structural siku tatu characteristics wiki tatu.....patamu hapo!!!
 
Back
Top Bottom