Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi naona katusaliti na atatiuharibia chadema Zitto, Mungu amzuie kwa nguvu zake maana mali zinamdrive vibaya mtoto huyu alizopewa na akina Rostam.
Tunajenga chama upya kuweka mizizi vijijini na kuuwa nguvu ya ujinga wa KICCM! Usije na Bundi muda huu! Vinginevyo unatafuta ubaya....Hongera Zitto Kabwe
Akafie mbali na tamaa zake. Ngoja tuone . Toka mwanzo washkaji walisema huyu hafai kabisa. Ni nduwila kuwili .
Huu ni uswahili na chuki za kinafki kaka, ukumbuke Chadema ilipotokea, vuta kumbukumbu usiwe unaropoka tu mkuu, ni huyu huyu Zitto Kabwe ndio aliyeanza kutufungua sis masikio mpaka leo hii Chadema imefikia hatua hii, Fikiri kabla ya kuropoka.

hongera sana Zitto,
Ila jamani kwa kumpigia kampeni Dr Slaa, Zitto alifanya. Mbona amezunguka majimbo mengi kwa lengo la kuwanadi wagombea wa Chadema na Dr Slaa, amefika Kibaha, Sumbawanga, BUkombe, Musoma n.k. Je huko alikuwa nawanadi akina nani na kaka siyo wagombea wa Chadema? Tuwe fair jamani.