Abdi kassimu
Member
- Jul 25, 2022
- 7
- 2
Mwandishi mmoja wa kitabu alimaarufu "Ngoswe penzi kitovu Cha uzembe" Muhusika mmoja alisema KUHESABIWA KUNAENDANA NA IMANI ZA KICHAWI!!!!
KUHESABIWA (SENSA)
Nchi ya Tanzania inategemea kufanya sensa ya kuhesabu watu na makazii yaoo mnamo tarehe 23Agost 2022 .. kwa Imani kubwa tunaungana na kukubali kuhesabiwa.
Makala hii inaelezea Nini maana ya sensa, faida za sensa kwa nchi na hasara zakee kwa Taifa.
SENSA: Ni kitendo au utaratibu wa kupata na kutunza habari kuhusu idadi ya watu, makazi au taasisi fulanifulani katika nchi husika. Pia ni utaratibu rasmi wa mara kwa mara wa kuhesabu idadi ya watu hao.
Kawaida ya sensa hufanyika kila Baada ya MIAKA kumi historia ya sensa kwa nchi ya Tanzania ni kama ifuatavyoo
Sensa ya kwanza ilifanyika mwaka 1961
Sensa ya pili ilifanyika mwaka 1967
Sensa ya tatu ilifanyika mwaka 1978
Sensa ya tatu ilifanyika mwaka 1988
Sensa ya nne ilifanyika mwaka 2002
Hivyoo basi Toka uhuru mpaka Sasa tuna sensa Tano ambazoo tayarii zimeshafanyika na hivyoo nchi yetuu [emoji1241][emoji1241] inategemea kufanya sensa ya SITA mnapo tarehe 23Agost 2022 ... Sensa inafanyika kwa lengo kubwa.
SENSA ni zoezi maalum lenye lengo la kupata idadi ya watu wote katika nchi, kwa umri na jinsia, mahali wanapoishi na hali yao ya elimu, hali ya ajira, hali ya vizazi na vifo na hali ya makazi. Takwimu hizi za msingi ndiyo zinazoweza kuainisha mahitaji halisi ya wananchi ya kiwemo makundi maalum yenye uhitaji maalum kwa mfano, watu wenye ulemavu,wanawake, watoto, vijana na wazee hivyo kurahisisha uandaaji wa sera na mipango ya maendeleo kulingana na uhitaji na mazingira yaliyopo.
UMUHIMU WA SENSA YA WATU NA MAKAZI KWA NCHI.
Umuhimu wa kipekee wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ni pamoja na:-
∆ .Kuisadia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazosaidia mchakato wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025, mageuzi ya masuala ya afya na jamii, pamoja na ufuatiliaji wa ajenda za maendeleo za kimataifa;
∆.Taarifa za idadi ya watu husaidia katika mamlaka za wilaya katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ambayo huakisi matakwa ya watu katika ngazi husika na kusaidia kwenye uwiano wa mgawanyo wa rasilimali;
∆.Taarifa za msingi za hali ya kidemografia, kijamii na kiuchumi za idadi ya watu na makazi za mipango katika ngazi zote;
∆. Kigawio katika kukokotoa viashiria vingine mfano Pato la mtu mmoja mmoja, Pato la Taifa, Ajira na ukosefu wa Ajira na kiwango cha uandikishaji wa wanafunzi;
∆. Taarifa itakayowezesha serikali kujua ongezeko la idadi ya watu, kwa mgawanyo na viashiria vingine, ambavyo ni muhimu kwa usimamizi wa mazingira; na
∆. Msingi wa utawala bora na ujumuishaji wa demokrasia. Takwimu sahihi za Sensa zinahitajika kwa ajili ya ugawaji wa majimbo ya uchaguzi kwa ufanisi, kurekebisha mipaka ya kiutawala katika serikali za mitaa.
NI ZIPI CHANGAMOTO ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI.
1. Imani za kishirikina .. Watu wengii wamekuwa na Imani potofuu juu ya zoezii la kuhesabu watu na makazii ya watu ... Watu huamini kuwa wakihesabiwa watalogwa hii ni changamoto kubwa kwa makarani wenye WAJIBU wa kuhesabu watu na makazii.
2. Changamoto ya taarifa hafifu. Baadhi ya watu hudanganya kuhusu taarifa zao za sensa eidha kuongea au kupunguza idadi yaoo .
3. Elimu ya kuhesabu Watu kwa makarani . Hili ni changamoto kubwa xaana endapo makarani hawatapata mafunzo stahiki katika swala la kuhesabu Watu hawawezi kuhesabu watu na kupata idadi kamili ya watuu.
NINI KIFANYIKEE KWA NCHI ILI KUEPUKANA NA CHANGAMOTO HIZII:
1. KUTOA ELIMU. kutoa Elimu ya kutosha kuhusu FAIDA za sensa kwa wananchi pamoja na nchi kuhusu FAIDA za sensa hii itasaidiaa watu kutokwa na Imani potofuu kama uchawi au Imani za kishirikina juuu ya swala Zima la UCHAWII
NA
Elimu kwa wasimamizi wa sensa na wahesabu watu wa sensa alimaarufu kama (makarani wa sensa) juu ya zoezii Zima la sensa ya watu na makazii. Elimu hii itasaidia katika kuhimiza na kuhamasisha kila mwananchi kuhusu kuona umuhimu wa sensa ya watu na makazii.
2. Serikali kufanya haki kwa wasimamizi na wahesabu watu wa sensa kama vile kuwasainisha mikataba ya kuwalipa pasipo kuwaumiza kwenye swala Zima la fedha . Hiii itasaidiaa zoezi la sensa kuratibiwa kwa uhakika na uhalali zaidii.
MWISHO
Napenda kuipongeza serikali kwa kuona na kujali umuhimu wa sensa kwa kutangaza matangazo mbali mbali yenye kuleta motisha na kuhamasisha kuhusu sensa ya watu na makazii wazee wa mkoloni walisema "Nyota iliyonjema huonekani Asubuhi" kupitia msemo huu na maandalizi ya sensa naiona Agost 23 2022 sensa ya watu na makazii iliyonjema na yenye tofauti za kiimani kulingana matangazo na kampeni mbali mbali kama vile "NIKO TAYARI KUHESABIWA" . Hii inaongeza motisha kwa watu juu ya swala Zima la sensa ya watu na makazii.
HITIMISHO.
Sensa ya watu na makazii si uchawi.. "NIKO TAYARI KUHESABIWA WEWE JE!!!!!!!!
Makala hii na Abdi kassimu (0718733106)

Upvote
2