Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unapolalasasa hizi barakoa inatakiwa zitumike kwa muda gani?
https://www.ecdc.europa.eu/sites/de...tage-surgical-masks-respirators2020-03-26.pdf
Asante sana ndugu.https://www.ecdc.europa.eu/sites/de...tage-surgical-masks-respirators2020-03-26.pdf
Katika hili bandiko wanasema kama huna vifaa vya kutosha unaweza kuitumikia tena N95 mask baada ya kuiweka kwenye mvuke wa moto ili kuua vijijini.
Mvuke wa moto ni mkali sana hasa wa maji yanayochemka.
😂 😂
Hakikisha uko eneo salama kwa hatari ya maambukizi kwanza yaani umeingia ndani ya nyumba yako kwa mfano.
inawezekana kuifua na kuivaa tena?Hakikisha uko eneo salama kwa hatari ya maambukizi kwanza yaani umeingia ndani ya nyumba yako kwa mfano.
Inategemea kama utaitumia tena au unaitupa, shika mask uivute mbele ya uso kama ni ya kufunga na kamba.
Iweke kwenye bin na uoshe mikono.