Six steps to wearing the N95 Mask

na step za kuivua masks zikoje.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakikisha uko eneo salama kwa hatari ya maambukizi kwanza yaani umeingia ndani ya nyumba yako kwa mfano.

Inategemea kama utaitumia tena au unaitupa, shika mask uivute mbele ya uso kama ni ya kufunga na kamba.
Iweke kwenye bin na uoshe mikono.
 
inawezekana kuifua na kuivaa tena?
 
Una weza kuitumia miezi miwili kama una itunza vizuri na kuisafisha ??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…