Six ways men can escape poverty

Somo zuri mnoo kwa maisha kwa sisi vijana, ila asilimia kubwa ya vijana ni wajuaji kupindukia hawashauriki.
 
Hapo kwenye cheap drinks nikusahihishe tuu kwamba sio kila anekunywa expensive drink is rich some just do it for show off and not all who drink cheap drinks got no money some don't wanna waste money on expensive drinks
 
True we have to connect with donalso working hard toward our plan also mke bora not mke matumizi
 
Hapo kwenye cheap drinks nikusahihishe tuu kwamba sio kila anekunywa expensive drink is rich some just do it for show off and not all who drink cheap drinks got no money some don't wanna waste money on expensive drinks
Haujaelewa ndugu.

Anamaanisha usipende kwenda sehem rahisi rahisi kwani huko utakutana na watu rahisi rahisi ambao hata wakikuona wanajua kibosile kafika, hawana cha kukuongezea kichwani zaidi kukusifu.

Nenda sehemu iliyo juu ukutane na watu wa level yako na kukuzidi utengeneze uhusiano, hiyo sehemu sio cheap na ndio maana katumia neno cheap drink. Kuna bar mtaani wanauza soda 500 na kuna hotel wanauza 2000 just an example.
 
Very interestingng , keep on doing man!
 
Hivi hiyo namba
Hivi, hii namba 1, lazima awe mke wako (#JustThinking)
 
What a good thread, this can attract viewers out there to be members of this forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…