Six ways men can escape poverty

You nail it bro! Keep it up.
 
Hahaha
 
Nzuri ila kizungu kigumu. Hembu fanya kutafasiri angalau tuambulie kitu
 
African hatukuumbwa kufuanjta hizo kanuni.
BUT
Wachache sana, nasema wachache sana sana they can apply as you mentioned.
 
I completely agree with you BUT I would like to strongly recommend to you to try and make THE TOPIC INCLUSIVE! How? I recommend that the TOPIC SHOULD SOUND LIKE THIS: SIX WAYS PEOPLE CAN ESCAPE POVERTY! This brings men and women on board and everyone can now read it as it fits him or her! Au siyo brother!
 
Hapo kwenye no 2:cheap drinks...weka wazi bhna tunaelewa kuwa cheap drinks zipo nyingi.Lakini kwa ujumla mada ni nzuri inafunza.
 
Point namba nne. Iko fresh na inawakumba watu weng sana
 
Hapo kwenye no 2:cheap drinks...weka wazi bhna tunaelewa kuwa cheap drinks zipo nyingi.Lakini kwa ujumla mada ni nzuri inafunza.

Mafanikio na Riziki yako yapatikana kupitia mikononi mwa watu wengine. Kwa hiyo basi kutengeneza mtandao au kizungu Networking ni jambo muhimu. Leo utaanzia kwenye “cheap drinks” Kesho na kutwa utapanda huko kwenye vinywaji ghali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…