Mkuu video ni nzuri na ni good example kwamba si wale walioendelea tu ndio wenye ubunifu bali pia hata wale waishio katika nchi zinazoendelea.
Kulinganisha objects na digital world itakuwa ndio njia murua kadri miaka inavyozidi kwenda mbele.
Kuna SatNav, self service POS kwenye supermarkets, wireless real time system kwenye transport systems na wireless fingerprints recognition device na traffic surveillance systems.
Kwa mfano katika nchi zilizoendelea polisi hawakusimamishi mpaka wawe wamefanya inquiry kwenye database kwamba umelipa insurance, road tax na MOT wakiwa ndani ya gari yao kwa kutumia licence plate recognition, LPR, ALPR, numberplate reading na number plate recognition.