Sasa wakiingia wake jamaa kuchukua flati si wataziona? au utawaambia wazee si mmejia flati, sepeni basi.Kila mwisho wa mwezi crdb wanakata fedha kutoka kwenye akaunti yako,ukidraw kwenye ATM wanakata,ukiangalia kwenye sim banking wanakata,weka fedha nyumbani we,viela vidogo hivyo, utaumizwa benki watakuumiza ukiweka milioni 100,unaitwa kujieleza umezitoa wapi karaha yote ta nini? ,weka nyumbani
Nenda equity bank wako mwenge wana best service ever wan app yao kwanza kuangalia salio nibureeeee......hawana makato ya mwsho wa mwezi nakutoa atm ni mia 7...so far kwa wafanyabiashara it is the best choice
Sasa we unataka ipatikane nmb si ndo uende nmbTatizo equity bank haipatikani kwa wingi kama Nmb
Sasa we unataka ipatikane nmb si ndo uende nmb
Hapa kuna kitu mnaficha au haukijui kama una card ya visa mastercad kuna hela mnakata sijui ya nini kama 6000 hiviPole mpendwa kwa usumbufu uliopata, makato kwa mwenzi ni Tshs 1888 kwa akaunti inayoendeshwa kwa sarafu ya Tanzania mfano akaunti ya akiba, mwanafunzi.
Makato kwa njia ya simbanking kuangalia salio ni shs 354 na kutoa pesa kuanzia 0 -- 200,000 ni shs 2594 inapanda kulingana na kiasi unachotoa
kutoa pesa katika ATM gharama ni shs 944 kwa kila muamala utakaokua unaufanya na kutoa pesa kwa cashier dirishani ni 2594, mpka kwa kiwango kisichozidi mil 10
Kweli mimi nimegundua CRDB wamekuwa wanyangsnyi badala ya kutafuta pesa wao kwa wateja wao wanawaibiahahaahhahahaaaa, CRDB gharamaaaa...tena makato ya ATM sio ATM yoyote tu, ukitoa ATM ya crdb bei sio mbaya, jipeleke katoe ya VISA uone, them days ilikuwa 3000, ukipachika tu, hatakama kuangalia salio siku hzi sijui cz niliwahama.
Equity ni bora kabisaaaaaa! tena kwa mida hii na ANKO ikienda 1000 tu roho inauma.
Nliwahi kutunza hela yangu kW ajili ya field kama miez minne SKU niloenda kuichukua skuamini kwakweli ...niliamua kuhama kabisa crdbhahaahhahahaaaa, CRDB gharamaaaa...tena makato ya ATM sio ATM yoyote tu, ukitoa ATM ya crdb bei sio mbaya, jipeleke katoe ya VISA uone, them days ilikuwa 3000, ukipachika tu, hatakama kuangalia salio siku hzi sijui cz niliwahama.
Equity ni bora kabisaaaaaa! tena kwa mida hii na ANKO ikienda 1000 tu roho inauma.
Simu banking itumie tu kuangalia salio. Usitoe hela huko utafilisika fasta. Labda kama umepata shida isiyowezekana kwenda kwenye ATM.
La haulah hawa jamaa ndio maana wanapata hela sana na faida kubwa sijuagi kama wanakata hizi huwa nachukua tu basi, nilikuwa na current account na savings account, ila current account wanakata sh 10,000 kwa mwezi huduma zingine sijawahi kukagua na sijui labda nichukue statement ya miezi 2 ndio ntajua, ila tatizo lingine nikiwekewa hela kutoka nje ya nchi exchange rate wanayoitumia ni mbovu sana haifai kabisa isitoshe wanakata sh 10,000. nikiwekewa hapa nchini yani ktoka mikoani kiwango mara nyingi ni mil 2 kwenda juu wanakata sh 10,000 yan nakatwa mimi kwa kuingiziwa huwa sielewi hii pesa kwa nini wasisubiri nitoe ndio wakate kweli nitahama nimewasoma sasa ntakuwa nimeshakatwa hela nyingi sana mpaka sasa hivi.Pole mpendwa kwa usumbufu uliopata, makato kwa mwenzi ni Tshs 1888 kwa akaunti inayoendeshwa kwa sarafu ya Tanzania mfano akaunti ya akiba, mwanafunzi.