LGE2024 Siyame: Chagueni CHADEMA, CCM haijabadilika

LGE2024 Siyame: Chagueni CHADEMA, CCM haijabadilika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

1732652215019.png

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe, kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kufanya mikutano katika kata za Bonde la Kamsamba wilayani Momba.

Mtia nia wa ubunge jimbo hilo, Fanuel Siyame, amewataka wananchi kuwachagua wagombea wa CHADEMA kwa sababu “hawatawachangisha michango ya hovyo.”

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa:
LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Aidha, amesisitiza “Atakayeshinda Novemba 27, 2024, atangazwe mshindi na atakayeshindwa atangazwe ameshindwa.”

Siyame amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakijabadilika, hivyo amewahimiza wananchi kuichagua CHADEMA kwa maendeleo ya kweli kwenye uchaguzi huu na uchaguzi mkuu wa mwakani.

PIA SOMA
- LGE2024 - Siyame awavaa CCM kwa kuwapa wana Momba maji ya kunywa yasiyo salama

- LGE2024 - Fanuel Siyame aapa kuing’oa CCM Momba, CHADEMA kushinda kwa kishindo
 
Back
Top Bottom