Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Dada umeolewa?Habari zenu wanajukwaa. Niende madani hapo juu. Madam Wema Sepetu, binti asiyechuja wala kukaukiwa matukio, aliahidi kuanzisha kituo cha Radio cha Madam FM ifikapo mwezi wa pili 2017. Ahadi hii ya Radio ya kutuburudisha aliitoa mwenyewe mwaka Jana. Kwa muda mrefu huku kwetu Koromije nimekuwa nikiyasaka mawimbi ya Radio hii tangu mwezi February nipate uhondo wa vipindi vya Radio mpya lakini siyapati zaidi ya kuambulia vituo vingine vya FM. Mwenye kujua masafa yake anijuze.
Kumbe ni kosa lako.....Habari zenu wanajukwaa. Niende madani hapo juu. Madam Wema Sepetu, binti asiyechuja wala kukaukiwa matukio, aliahidi kuanzisha kituo cha Radio cha Madam FM ifikapo mwezi wa pili 2017. Ahadi hii ya Radio ya kutuburudisha aliitoa mwenyewe mwaka Jana. Kwa muda mrefu huku kwetu Koromije nimekuwa nikiyasaka mawimbi ya Radio hii tangu mwezi February nipate uhondo wa vipindi vya Radio mpya lakini siyapati zaidi ya kuambulia vituo vingine vya FM. Mwenye kujua masafa yake anijuze.
Alipotea stepu.Tangu ahamie CHADEMA nyota yake imefifia kweli.
Pa kuishi hana,ataweza vipi kuanzisha redioHabari zenu wanajukwaa. Niende madani hapo juu. Madam Wema Sepetu, binti asiyechuja wala kukaukiwa matukio, aliaeediohidi kuanzisha kituo cha Radio cha Madam FM ifikapo mwezi wa pili 2017. Ahadi hii ya Radio ya kutuburudisha aliitoa mwenyewe mwaka Jana. Kwa muda mrefu huku kwetu Koromije nimekuwa nikiyasaka mawimbi ya Radio hii tangu mwezi February nipate uhondo wa vipindi vya Radio mpya lakini siyapati zaidi ya kuambulia vituo vingine vya FM. Mwenye kujua masafa yake anijuze.
Unavyoamini wewe fungulieni mikutano ya wapinzani uone nyota yake imefifia ama la...Tangu ahamie CHADEMA nyota yake imefifia kweli.