Tunaiomba serikali iangazie aina hii mpya ya wizi wa fedha za umma amabao watumishi hasa wa ngazi ya juu wamekuwa wakichukuwa posho ya siku 5 na kuishia kusafiri kwa siku mbili.
Tunaiomba serikali kupitia wizara ya fedha kuwaelekeza wananchi na watumishi wenye nia njema na nchi hii sehemu ya kupeleka taarifa husika ili hawa nao wakatwe fedha kwenye mishahara yao.