Siyo kila misemo ya kurukia,hakuna mbwa albino

Siyo kila misemo ya kurukia,hakuna mbwa albino

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Haijawahi kuthibitishwa kuwepo na mbwa albino

So unapokuwepo kwenye papatupapatu zako za kutukana na kudhalilisha watu ambazo ndizo zinakuweka mjini elewa hilo

Siyo kila mtu wa kusema niite mbwa nimekaaa pale,wako mbwa wanene wenye kilo 800

ila hamna albino na mbwa wote wana uwezo wa kukaa juani hata dakika tano
 
Kama kuna mamba na sokwe albino.hata mbwa wapo ngoja nianze kuwatafuta
1661411950795.jpg
FB_IMG_1629996568355.jpg
FB_IMG_1643082212941.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwaio hapo wewe umefurahi mkuu?? Mambo mengine ni kujiaibisha
hivi unajielewa hata unachoandika? unazungumzia ustaarabu kwenye issue za takadini, mwenzako kutukananana kudhalilishana ndiyo style inayomueka mjini kama akijibiwa hivi anafurahi sana na kupata morali ya kutukana zaidi, cha kushangaza wewe unasikitika
 
Naomba afute maneno aliyomkejeli Mgunda Kwa kweli hakutumia busara kabisa.Sio kwamba na Bariki matusi anayotukanwa Takadini ila ni matokeo anayojitafutia mwenyewe imagine asingekuwa na hiyo kasoro cjui angetukana matusi gani.
 
Back
Top Bottom