Siyo kila misemo ya kurukia,hakuna mbwa albino

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Haijawahi kuthibitishwa kuwepo na mbwa albino

So unapokuwepo kwenye papatupapatu zako za kutukana na kudhalilisha watu ambazo ndizo zinakuweka mjini elewa hilo

Siyo kila mtu wa kusema niite mbwa nimekaaa pale,wako mbwa wanene wenye kilo 800

ila hamna albino na mbwa wote wana uwezo wa kukaa juani hata dakika tano
 
Mmekosa vya kutaniana mpaka mnafika uko
kutaniana na nani? na sope? kuna mtu anatanianiana na lile DUBWASHA, ni kata mti panda mti ndiyo maisha aliyoyachagua kupata pesa za kuishi na sisi tunamsaidia
 
Kwaio hapo wewe umefurahi mkuu?? Mambo mengine ni kujiaibisha
hivi unajielewa hata unachoandika? unazungumzia ustaarabu kwenye issue za takadini, mwenzako kutukananana kudhalilishana ndiyo style inayomueka mjini kama akijibiwa hivi anafurahi sana na kupata morali ya kutukana zaidi, cha kushangaza wewe unasikitika
 
Naomba afute maneno aliyomkejeli Mgunda Kwa kweli hakutumia busara kabisa.Sio kwamba na Bariki matusi anayotukanwa Takadini ila ni matokeo anayojitafutia mwenyewe imagine asingekuwa na hiyo kasoro cjui angetukana matusi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…