Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Did this ever happen? About Waitara?Hayo ni maneno ya kuleta taharuki.
Nimeona mtu mmoja anaeleza sasa hivi.
Anasema kiongozi kama Nchimbi ambaye anajua siri nyingi za serikali akijiuzulu au akistaafu au akifukuzwa kazi,anakua chini ya uangalizi kwa muda fulani mpaka hapo itakaponekana siyo tishio kwa usalama wa nchi.
Hili ni jambo linafanyika Duniani kote.
Siyo kwamba anaweza kujiuzulu leo halafu kesho akaenda French Riviera.
Ni kama vile CDF Waitara alipostaafu Jeshi halafu akajiunga na Chadema.
Magufuli akamuondoa Chadema akamrudisha CCM.
Cdf Waitara mjeshi na mbunge ni watu wawili tofauti;ni majina tu yanafanana mzee,au mimi ndio nakosea?Hayo ni maneno ya kuleta taharuki.
Nimeona mtu mmoja anaeleza sasa hivi.
Anasema kiongozi kama Nchimbi ambaye anajua siri nyingi za serikali akijiuzulu au akistaafu au akifukuzwa kazi,anakua chini ya uangalizi kwa muda fulani mpaka hapo itakaponekana siyo tishio kwa usalama wa nchi.
Hili ni jambo linafanyika Duniani kote.
Siyo kwamba anaweza kujiuzulu leo halafu kesho akaenda French Riviera.
Ni kama vile CDF Waitara alipostaafu Jeshi halafu akajiunga na Chadema.
Magufuli akamuondoa Chadema akamrudisha CCM.
Acha upotoshaji.Hayo ni maneno ya kuleta taharuki.
Nimeona mtu mmoja anaeleza sasa hivi.
Anasema kiongozi kama Nchimbi ambaye anajua siri nyingi za serikali akijiuzulu au akistaafu au akifukuzwa kazi,anakua chini ya uangalizi kwa muda fulani mpaka hapo itakaponekana siyo tishio kwa usalama wa nchi.
Hili ni jambo linafanyika Duniani kote.
Siyo kwamba anaweza kujiuzulu leo halafu kesho akaenda French Riviera.
Ni kama vile CDF Waitara alipostaafu Jeshi halafu akajiunga na Chadema.
Magufuli akamuondoa Chadema akamrudisha CCM.
Kijana huyu wa Nyerere ni mjanja mjanja kama baba yake.Cdf Waitara mjeshi na mbunge ni watu wawili tofauti;ni majina tu yanafanana mzee,au mimi ndio nakosea?
Brother Andy lini CDF Waitara alijiunga Chadema? Naona kichwa kimepata moto kunywa maji baridiiii.Hayo ni maneno ya kuleta taharuki.
Nimeona mtu mmoja anaeleza sasa hivi.
Anasema kiongozi kama Nchimbi ambaye anajua siri nyingi za serikali akijiuzulu au akistaafu au akifukuzwa kazi,anakua chini ya uangalizi kwa muda fulani mpaka hapo itakaponekana siyo tishio kwa usalama wa nchi.
Hili ni jambo linafanyika Duniani kote.
Siyo kwamba anaweza kujiuzulu leo halafu kesho akaenda French Riviera.
Ni kama vile CDF Waitara alipostaafu Jeshi halafu akajiunga na Chadema.
Magufuli akamuondoa Chadema akamrudisha CCM.
Huyo siyo mjanja bali nyaya zimegusana upstairsKijana huyu wa Nyerere ni mjanja mjanja kama baba yake.
Mbona yuko vizuri tu.Huyo siyo mjanja bali nyaya zimegusana upstairs
Labda kama wewe mgeni humuMbona yuko vizuri tu.
😅Brother Andy lini CDF Waitara alijiunga Chadema? Naona kichwa kimepata moto kunywa maji baridiiii.
Huyu Mzee namuheshimu bila kujali hali yake. Tuendelee kwenda naye hivi hivi tu!Labda kama wewe mgeni humu
Ni mzee kweli ila ana mushkeli wa ukoo,inasemekana hata mshua samtaimz mushkeli ulikua unapandaHuyu Mzee namuheshimu bila kujali hali yake. Tuendelee kwenda naye hivi hivi tu!
Mushkeli hata yule aliyekuwa NCCR mageuzi miaka ile unaendelea kumpanda akiwa mbele ya watu. Kweli yawezekana ni mushkeli wa ukoo.Ni mzee kweli ila ana mushkeli wa ukoo,inasemekana hata mshua samtaimz mushkeli ulikua unapanda
Huyo alitumwa assignment huko chademaNi kama vile CDF Waitara alipostaafu Jeshi halafu akajiunga na Chadema.
Magufuli akamuondoa Chadema akamrudisha CCM.
Hata mimi nilianza kuona manyota nyota tu, kwamba CDF alijiunga Chadema kumbe ni Mwita Waitara mbunge wa Tarime. Inaitwa lugha gongana.Cdf Waitara mjeshi na mbunge ni watu wawili tofauti;ni majina tu yanafanana mzee,au mimi ndio nakosea?