Siyo kwamba Nchimbi kawekwa kizuizini

Hata mimi nilianza kuona manyota nyota tu, kwamba CDF alijiunga Chadema kumbe ni Mwita Waitara mbunge wa Tarime. Inaitwa lugha gongana.
Mwenye mada si yupo. Aje afafanue hii 'mistaken identity'.

Kwa kweli nami nilianza kustaajabu hilo lililosemwa juu ya CDF.

But apparently ni 'wimpy' Waitara Mwita anayechanganywa na Waitara the soldier!
 
Ni lini CDF Waitara alijiunga Chadema?

Hata mimi nilianza kuona manyota nyota tu, kwamba CDF alijiunga Chadema kumbe ni Mwita Waitara mbunge wa Tarime. Inaitwa lugha gongana.
Kaeni kwa kutulia
Na acheni taarifa isambae kama zinavyotokaga kwa mange au maria
Mi nimesoma hii na nimejua CDF waitara alijiunga chadema, fullstop
 
Mwenye mada si yupo. Aje afafanue hii 'mistaken identity'.

Kwa kweli nami nilianza kustaajabu hilo lililosemwa juu ya CDF.

But apparently ni 'wimpy' Waitara Mwita anayechanganywa na Waitara the soldier!
Kinachoshangaza zaidi yeye mwenyewe ni WA pande hizo hizo wanakotokea hao kina waitara wawili (CDF & Mbunge)
 
Ruto alipotofautiana na Rais Kenyata ilitokea nini? Gachagua alipotofautiana na Rais Ruto hadi kupelekea impeachment katika bunge ilitokea nini?

Hatukuona mambo ya kuwekana kizuizini kwa sababu ya upuuzi wowote ule. Hapa nchini tuna katiba mbovu iliyopitwa na wakati inayomfanya Rais aonekane kama mungu-mtu.

Kutofautiana kimtazamo na Rais eti inamfanya MTU kuwa mhaini! Yaani kama taifa tuna mtu mmoja tu ambaye anatusaidia kufikiri hata kama hana maadili, weledi, umahiri, maono, hekima wala busara ya kufanya hivyo?
 
Anasema kiongozi kama Nchimbi ambaye anajua siri nyingi za serikali akijiuzulu au akistaafu au akifukuzwa kazi,anakua chini ya uangalizi kwa muda fulani mpaka hapo itakaponekana siyo tishio kwa usalama wa nchi.
Hili ni jambo linafanyika Duniani kote.
Asante Kaka Mkubwa Poppy Hatonn , kwa kuwafundisha madogo humu kuhusu uangalizi!.
P
 
CDF WA CHADEMA? AAH HUYU ANAWEZA AKAJIUNGA KESHO KISHA MAGUFULI ATAMRUDISHA CCM KESHOKUTWA.
 
Sio Rais ni mfumo wa Nchi. Kiti cha Rais kinaweza kufanya lolote na mtu asihoji popote.

Katiba imetoa madaraka makubwa sana kwa Rais hata zaidi ya MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…