Siyo rahisi kutumia nyuklia

Siyo rahisi kutumia nyuklia

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Kuna mlolongo mrefu sana ili Mabomu ya nuclear yatumike. Sio maamuzi ya mtu mmoja, wawili, watu tu hapana.

Kunahitaji maamuzi ya kina na ya watu wengi. Bado rais wa nchi kama Putin hana maamuzi ya moja kwa moja ya KUTUMIA nuclear. Yeye kama kiongozi anaweza kuamua lakini kikwazo kikawa kwa watu wengine wakampinga
 
Rais wa Urusi ndio ana code za kuruhusu Nuclear zitumike na baada ya Code hizo kuingizwa kwenye mfumo hahiitaji kikao chochote kusimamisha.
 
Rais wa Urusi ndio ana code za kuruhusu Nuclear zitumike na baada ya Code hizo kuingizwa kwenye mfumo hahiitaji kikao chochote kusimamisha.
Unatuelezea kama movie la Anorld Schwarzenegger vile. Kwanza Putin, ajasomea maswala ya sayansi. Amesomea maswala ya Sheria ni kilaza kama vilaza wengine kwy maswala ya sayansi. Yule ni mwanasiasa kama Wana siasa wengine. Nadhani ashakaa na wanasayansi na kumwambia madhara yake kwa undani. Babu ukijaribu nyuklia ata sisi umu utotuona apa, nadhani amebaki na vitisho vitisho tuuu. Nyuklia zinawatisha ata wanaozitengeneza. Na mpaka awa G7 wanajitoa muanga washamsoma manyuklia yake na uwezo wake wote. Manyuklia yote yameeelekezwa kwake na Ndio maana anabaki anashindwa afanyaje?
 
Silaha pekee ya kuikabili NATO kwa wepesi ni nuclear wewe kuwa Kama zele ukifikiria huu muda wa jokes poleni sana
 
Tukiwambia Putin ni kichwa muwe mnaelewa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Most EU buyers open RUBLE accounts for [emoji635] gas as ‘no other advisory options’: Gazprombank

Half of [emoji635] gas giant Gazprom's clients have opened accounts at Gazprombank, Deputy Prime Minister Alexander Novak said, as Moscow seeks to compel its clients to pay for its gas in roubles. https://t.co/OCur3mOoDs
 
Back
Top Bottom