Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 331
- 416
Nina kereka sana na watu wanaotumia neno "Ndoa za jinsia moja"! Kwa hakika hilo si neno sahihi kwa watu wafanyao mambo ya ufiraji ya kuyaita hivyo ni kuyapa hadhi na heshima isivyostahili.
Ndoa ni jambo la heshima, ni jambo takatifu. Biblia inatamka kwamba ndoa iheshimiwe na watu wote. haimaanishi ni pamoja na hao wafiraji na wasenge. Biblia inawaita watu wafanyao mambo kama hayo kuwa ni wafiraji...... hawataingia ufalme wa mbinguni. waswahili huwaita wasenge! Sisi tunaona aibu gani kutumia maneno hayo.
Nadhani kwa Tanzania hatujafikia hatua ya kuziita eti "ndoa" labda ulaya na marekani. Huku Tanzania ni wafiraji na wasenge tu. Siku ya mwisho watu kama hao sehemu yao ni katika ziwa la moto na kiberiti.