Siyo siasa lakini kuna ukweli wowote hapa?

Siyo siasa lakini kuna ukweli wowote hapa?

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
248
Ni kweli diamond amekutana na BritneySpear? Jamani magazeti ya bongo kwa chunvi.
Angalia tofauti kati ya picha. kwa nini wasiseme ukweli kwamba alipiga picha na sanamu wala siyo Britney? Ngalia mwenyewe hapa chini.


Msanii%2BDiamond%2Bakila%2Bpozi%2Bna%2Bkupewa%2Bchangamoto%2Bkutoka%2Bkwa%2BQueen%2Bwa%2BPop%2Bambaye%2Balikuwa%2B%2Bmshindi%2Bwa%2BMTV%2BAward%2BMiaka%2Bya%2BNyuma%2BBritney%2BSpears%2Bmjini%2BLondon%2Bbaada%2Bya%2BUrban%2BTour..jpg

Msanii Diamond akila pozi na kupewa changamoto kutoka kwa Queen wa Pop ambaye alikuwa mshindi wa MTV Award Miaka ya Nyuma Britney Spears mjini London baada ya Urban TourWaheshimiwa Wadau Salaam,Kwa heshima na taadhima URBAN PULSE CREATIVE Inawaomba na kuwasihi watanzania wote pale walipo kuwa wazalendo na kumpigia kura

Britney-Spears-at-Madam-Tussaud-in-London.jpg

Sanamu lililopo Madame Tussauds-London
 
Umesha sema si Siasa sasa ukweli gani unaotaka Mkuu?
 
mmh napata kigugumizi

kwa kweli ukiziangalia hizo picha mbili unaweza kusema .......
 
Watu tunafkiria katiba mpya we unatuonesha britney na diamond 1stly tutake radhi coz hii forum ni specific for politics sio ..........!Wako!
 
Utawaweza wabongo na sifa za kijinga..
 
Back
Top Bottom