Pre GE2025 Siyo siri tena, CCM wanamsifia Mbowe hadharani. Urafiki huu wa Mbowe na CCM unatokana na nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Mwenyekiti wa CCM Kibaha akimsifia Mbowe na kumtakia aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema vinginevyo chadema itakufa.

Huu urafiki unaooneshwa na ccm kwa Mbowe, hasa wakati huu wa uchaguzi wa mwenyekiti ndani ya chadema unatokana na nini?

Ni kweli kwamba Mbowe ni mwenzao?

View attachment 3189483
Mbowe njia panda
 
wana chadema ni marafiki zetu na ni ndugu pia

mbowe suti ya kijani ilikaa vyema sana
 
Mbowe aking'ang'ania CHADEMA kuna haja ya kufungua Chama ambacho kitakuwa na Wapinzani wakweli na Wazalendo.
 
Inahitakika chama kitakacho kuwa na ma gen z wakutosha na kiongozwe na watu kama lissu hiki chagadema ni usoro tupu
 
Kwahiyo unajifanya hujii gilba za wanaccm wewe kumbuka wao ndio waanzilisho wa kudai kuwa MBOWE amekaa muda mrefu kwahiyo wakaanzisha kampeni ya MBOWE must go au unajishaurisha?
 
Kumbe hajakaa muda mrefu!
 
Hawataki kete ya chama cha wachaga ipotee.
 
Back
Top Bottom