Mbowe njia pandaMwenyekiti wa CCM Kibaha akimsifia Mbowe na kumtakia aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema vinginevyo chadema itakufa.
Huu urafiki unaooneshwa na ccm kwa Mbowe, hasa wakati huu wa uchaguzi wa mwenyekiti ndani ya chadema unatokana na nini?
Ni kweli kwamba Mbowe ni mwenzao?
View attachment 3189483
Hunaga akili kabisa kichwani mwakoInahitakika chama kitakacho kuwa na ma gen z wakutosha na kiongozwe na watu kama lissu hiki chagadema ni usoro tupu
Kumbe hajakaa muda mrefu!Kwahiyo unajifanya hujii gilba za wanaccm wewe kumbuka wao ndio waanzilisho wa kudai kuwa MBOWE amekaa muda mrefu kwahiyo wakaanzisha kampeni ya MBOWE must go au unajishaurisha?
Shida unawaza kwa kutumia nyash fanta sana ww jamaaHunaga akili kabisa kichwani mwako
Kama sasa hivi?Inahitakika chama kitakacho kuwa na ma gen z wakutosha na kiongozwe na watu kama lissu hiki chagadema ni usoro tupu
HapanaKama sasa hivi?