mmmh nani kakwambia sie tuko chini na nyie mko juu!!!???? msipotoshe maandiko jamani, kilichotajwa kwenye bible ni kuwa mwanamume aliumbwa kwanza na kutoka kwake Mungu akaumba mwanamke, lakini the same bible inasema mwanamke alikuwa mwerevu kuliko mwanamume hata akamrubuni wale tunda la mti, kuwa kichwa cha nyumba doesnt mean kuwa wewe uko juu ya mume, msichukulie mfano wa binadamu kasimama basi kichwa kiko juu ya mwili eti ndio kikubwa kuliko moyo ambao anytime ukiacha kufanya kazi hata kichwa hakiwezi kusimama tena, MWANAMKE NI MOYO wa familia, sasa kichwa bila moyo kinawezaje kuishi???? hujawahi kusikia mtu anakuwa declared kuwa is clinically dead kwa sababu ubongo wake ulioko KICHWANI haufanyi kazi lakini amri ya mwisho ya maisha ya mtu ni pale MOYO unapozima kufanya kazi na sio KICHWA! THINK again utagundua behind every successful man there is a woman ' a strong and brave woman for that matter' BIG UP WANAWAKE WOOOOOTE popote mlipo, mko juuu hata shetani analijua hilo!!!!!!!!!!!![/QUOTE]
knye bold! ndio maana shetani aligundua akimwendea adam kumshawishi kula tunda Adam kwa kuwa ni mjanja ana akili angekataa ikamdidi aende kwa Hawa/Eva aliyeshawishika kirahisi,, kweli nimeamini mko juu hata shetani anawaingia kwa haraka na urahisi