Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Mathalani, Ripoti ya Kielelezo cha Ufisadi wa Mwaka 2022 inaonesha kuwa nchi nyingi zinashindwa kukomesha ufisadi.
Kielelezo hiki cha Ufisadi hupanga nchi na maeneo 180 Duniani kwa viwango vyao vya ufisadi katika sekta za umma, na kutoa alama kuanzia alama sufuri 0 ikiashiria (ufisadi mkubwa) hadi alama mia Moja 100 ikiashiria (kutokuwepo kwa ufisadi).
Takwimu zinaendelea kuonesha hatua za matumani kwa Tanzania Kwa mfano mwaka 2021Tanzania ilipata alama 39/100 na kuwa nafasi ya 87/180, mwaka 2022 ilipata alama 38/100 na kuwa nafasi ya 94/180 huku mwaka 2023 ilipata alama 40/100 na kushika nafasi ya 87/180.
Hapa inaonesha kuwa alama za kuonesha kupungua kwa ufisadi zimekuwa zikiongezeka kila mwaka mfano tofauti ya mwaka 2021 na 2022 ni alama moja (1+) huku mwaka 2022 na 2023 ni alama mbili (2+). Jambo hili linaonesha zipo jitihada zisizopaswa kubezwa ila bado tunahitaji niaa thabiti na utashi wa kisiasa kukomesha ufisadi nchini.