Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Watoa hoja hawajamaanisha hivyo.Bali, kupuuza tahadhari ambayo watangulizi wa Mkulu walikuwa nayo dhidi ya Mr Slim&Co kunakofanywa sasa hivi,kunaashiria kwamba kuna hatari mbele yetu.Kwahiyo mnataka kutuaminisha kwamba kila mnyarwanda aliyeko tz ni spy?
Ha ha ha ha ukienda unakuwa ndo mtoa nondo.Safi sana JF. Naheshimika ktk kijiwe chetu cha kahawa kwa mambo ka hizi!
Mtoto wa Simba ni Simba...!Na kinachoniacha hoi, ikiwa hizi tetesi zina ukweli kwanini jeshi na TISS wapo kimya?
Kwamba hawajui anayedai miaka saba katumwa?
Hawajui kwamba huko Mwanza wapo wengi na mpaka wanaongea kisukuma?
Mwenye macho haambiwi kuona.
Dhamira yako siyo njema mkuu.Hakuna aliyezuia raia wa nje, bali pale panapoleta shaka acha wazawa waitetee nchi yao.Kwahyo wale wakenya wako kule moshi au wale Wazambia na wamalawi kule mbeya nao ni ma Spy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda umekipenda hicho kitengo...!Myth ni nyingi sana kuhusu huyu President. Kuna mtu atakuja hapa soon atasema na mimi ni Spy wa Rwanda [emoji3]
Rwanda sio Kenya, Rwanda sio ZambiaKwahyo wale wakenya wako kule moshi au wale Wazambia na wamalawi kule mbeya nao ni ma Spy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaielewa hii kitu, siku Utakapojua nguvu ya information.Let assume kuw Mr.Slim ni hatari kuliko tunavyofikiria ,ana ma spy 200 wa kike na udogo wa nchi yake sio hoja, swali ni je anaweza kufanya nini? Kuipiga tz nyuklia ..................siielewagi hii kitu!