Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Kwamba naye anaKIDDON yake..?!
 
Mr. Slim, ni tishio ukimkaribisha kwako kama awamu yenu inavyofanya kwa sasa hapo Tanzania.

Dawa ya nyoka ni kumfungia nje ya nyumba yako ila akiingia tu ndani basi hapo uko kwenye hatari mara dufu.

Ni kweli Rwanda , wanausalama wake wanafundwa na Israel -Mossad, USA - CIA, wengine walikuwa chini ya France intelligence unit kabla ya kupunguza uhusiano na some of them in Belgium.
Nimekutana nao hao wanafunzi wake baadhi katika hizo nchi na wanafahamika wengi wanasoma huko wakisema wamekimbia mateso ya Mr. Slim na memories mbaya ya genocide.
Lakini, ao hao Mr. Slim alikuja USA wakawa kwenye kikao naye kama diaspora tena na Belgium it was the same incidence.

Africa nzima pana wanyarwanda kama mvua wengi ni sleeper agents/undercover under the umbrella of refugees or asylum seekers while conducting espionage deals.

Any way, Tanzania chekeni na nyani kisha mvune mabua ndiyo mtatambua kuwa njaa ni kitu kibaya sana.
 
Naamini sasa kuna kundi linalopigana na kagame vita yao huko Rwanda kwa njia nyingine


Myth 1
Yote kwa yote inawezekana Watanzania wanaingia katika ugomvi huu bila kutambua wanafanya nin? Wanaingizwa ili wapambane na kagame maana Hilo kundi la Hutu wanaamin nchi pekee ya kuwasiaida EA kupambana na kagame ni Tanzania

Myth 2
Inawezekana ni kweli , yasemwayo kuhusu ,kagame na ninakiri kweli TISS ,kulitambua hili , anzia kwenye vetting za chaguzi nyingi ndani ya ccm na nje ya ccm (serikalini) kuna watu wanaoletwa unashika kichwa hivi hawa TISS wako kazini kweli ?


Ili tuondokane na Myth zote , yote yachukuliwe yafanyiwe Kazi na TISS iwe structured upya , kwani TISS umeanza kuvurugika kipindi cha Mzee Wa ukweli na uwazi

Kugundua hili hata DG wake historia yake na Makuzi yake ni Mashaka tupu ,mzazi Wa kule jirani na Zambia (typical Zambia) lakini akaonekana makuzi n.k ni Tabora kwenye mashamba ya Kahawa

Lazima tujue tumejikwaa sehemu, japo PK naamini hana uwezo Wa kutufanya lolote na hilo analijua
 
Naamini vyombo vyetu vitakua vimeona hili na vitakua kazini .
 
Nadhani baadhi ya matendo yanayotokea ndio yanaleta tension mfano suala la kibitu,unaweza jiuliza system zetu zilikua wapi muda wote? Azory wa mwananchi yuko wapi?
 
Just hahahahahaha... Hahahahahaha. Upupu. Gari yako sipandi;

Olakoze chane

Tafadhali soma tena Uzi wangu huu nahisi hujaelewa;

Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

Jk alisema kuna viwanda vya uongo
Kwanini usijibu hoja mkuu unaishia kuita upupu?? Wewe ulisema Mr slim hana lolote huyu kakujibu kuwa Mr slim ni hatari sasa badala ya kuleta hoja za kuridhisha unaishia kujichekesha tu kwa kejeli ndio maana uzi wako uliuharibu maana kila mtu aliyekosoa hoja zako uliishia kusema hajui kitu bila kumueleza unachokijua ni kipi hasa

Jifunze kujibu hoja kejeli hazisaidii
 
Umeanza vzuri ila sentensi ya mwisho umeharibu kila kitu.... Unaposema HANA UWEZO umetumia vigezo gani?? Kma makinikia na tembo tumeibiwa miaka nenda rudi kivipi kagame ashindwe kutufanya lolote?? Hivi unafkiri kama angekuwa hawezi angempiga biti kikwete kipindi kile?? Siidharau Tanzania ila kagame ni mtu wa vita na ambitions ya kutanua utawala wake kma alivyojipenyeza congo na uganda..... Hivyo naamini ubavu anao kumbuka kagame ana support kubwa ya congo na uganda endapo lolote litatokea kati yake na Tanzania

Kingine myth #1 natofautiana na wwe sababu wahutu hawajawahi kuitumia TZ kama base ya kurudi rwanda wengi wao wapo upande wa DRC hivyo wanaitegemea congo ndio iwasaidie kuwatoa watutsi kma vile mobutu alivyokuwa akiwapa silaha kumpiga kagame 1994-97!! Hivyo pona ya kagame ni museveni na kabila kubakia madarakani ila siku museveni na kabila wanatolewa madarakani huyo kagame hadumu hta sekunde moja maana wahutu watamvamia tokea pande zote na utawala wa wahema utafutwa rasmi afrika mashariki na kati
 
Nadhani baadhi ya matendo yanayotokea ndio yanaleta tension mfano suala la kibitu,unaweza jiuliza system zetu zilikua wapi muda wote? Azory wa mwananchi yuko wapi?
Mkuu US na uwezo wake wote bado hakuwashtukia walioteka ndege na kulipua majengo sept 11. Je tuhitimishe kuwa US hawana mfumo mzr wa ulinzi?

Ok ngoja niseme hv unafahamu operation kali ambazo shirika letu la ujasusi limefanya kushirikiana na vyombo vingine ili kulinda na kuepusha shari?? Naam hata ss kibiti ni wao wamedhibiti
 
Let assume kuw Mr.Slim ni hatari kuliko tunavyofikiria ,ana ma spy 200 wa kike na udogo wa nchi yake sio hoja, swali ni je anaweza kufanya nini? Kuipiga tz nyuklia ..................siielewagi hii kitu!
Hauwezi kuelewa kama Akili yako haikuruhusu kuelewa.
 
Mkuu mfano wa marekani haufanani..... Udhaifu sio tukio la september 11 ila lingejirudia rudia ndio ungesema marekani ina udhaifu ila kwakuwa tukio kma lile halijajirudia marekani imeprove wako vzuri intelijentsia

Ssa turudi TZ kapotea saanane.... Kaja lisu kumiminiwa risasi....kaja azory.... Bado hatujui makinikia yaliibiwaje.... Almasi tukapigwa.... Tembo wameuzwa je huoni udhaifu upo TISS

I hope awamu hii watajirekebisha maana wametucost sana
 
Hawaitaji kutangaza matunda tunayaona.... Israel akitekwa mtu ndani ya wiki keshapatikana ila sisi anatekwa....makinikia yanaibwa....ujangili.... Kura zinaibwa.... Mafisadi yanaiba pesa hovyo.... Magendo bandarini....madawa ya kulevya yanapita airport!! Hivi hata kma hawatangazi kwa udhaifu kma huo kweli tusione tiss imeparalyse????
 
unayajua majukumu yake usije ukachanganya kazi za kipolice ukalaumu vyombo vingine
 
unayajua majukumu yake usije ukachanganya kazi za kipolice ukalaumu vyombo vingine
Umeongelea september 11 ndio maana na mmi nmetoa mfano wa hayo masuala ya ujangili?? Kma hayahusiani na majakumu ya kipolisi kwanni basi umetoa huo mfano pia
 
Na kinachoniacha hoi, ikiwa hizi tetesi zina ukweli kwanini jeshi na TISS wapo kimya?

Kwamba hawajui anayedai miaka saba katumwa?

Hawajui kwamba huko Mwanza wapo wengi na mpaka wanaongea kisukuma?
Huu ni upuuzi wa mtaani mkuu usio na ukweli wowote hakuna nchi isiyo na wageni .ukizingatia jografia na mipaka yetu lazima muingiliano uwepo tatizo lililopo ni kila MTU kujifanya mwalimu wa usalama wa taifa.
 
Umeongelea september 11 ndio maana na mmi nmetoa mfano wa hayo masuala ya ujangili?? Kma hayahusiani na majakumu ya kipolisi kwanni basi umetoa huo mfano pia
rudia nilichoandika sijaandika kitu kinaitwa September 11
 
rudia nilichoandika sijaandika kitu kinaitwa September 11
Kuna post umemwambia mtu "kwahyo marekani dhaifu kisa september 11".... Unless nmequote vibaya ila hoja yangu inabaki hata kma kuna usiri ila matokeo hatuyaoni mkuu.... Yaani CIA wanafanya vitu Kwa siri ila matokeo unayaona watu hawatekwi hovyo afu washindwe kupatikana unlike TZ mnasema mambo yanafanyika sirini ila matokeo hatuyaoni bado uozo kila kona

Hakuna relation yoyote mkuu kati ya usiri wa intellijentsia na matunda yake kuonekana.... Hata kma hawatangazi ila tungeona tu matokeo chanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…