Sizani kama kweli gadhafi punde tu mikononi mwawahasi

msoviet

New Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3
Reaction score
0
ni siku kadha waasi wamekuwa wakinyemelea nchi ya ghadafi huko libya kwa nia ya kumpora mafuta ambayo ndio chanzo kikubwa cha mapigano hivi ni kweli ndungu zangu, kisheria ni kweli kwamba mtu ananyanyasika kwa mali ya nchi yake.  je ungekuwa ni wewe unaingiliwa katika sehemu yako ugefanya kama ghadafi au........................................................................................
 
Ghadafi hana wema wowote alitaka kutupiga miaka ya sabini mwishoni huwezi kuwafuga watu kama wanyama
 
wamemkomesha rafiki wa nduli iddi amini yule...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…