Size ya radio ya gari (Spacio na Ist)

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wakuu,

Nina hizo baby walker mbili (spacio na ist) nahitaji kubadilisha radio zilizopo na kuweka android radio.

Kwa bahati mbaya radio hizo gharama yake ni 550,000 kwa hapa bongo lakini nina mtu hayupo bongo anataka kuniletea kwa bei chini ya hiyo.

Lakini sifahamu size ya radio ya gari hizo, ningekuwa nafahamu unapima wapi ningeweza kupima mwenyewe lakini sielewi wanachopima ni ile screen pekee inayoonyesha au ni ile sehem nzima ambapo radio imewekwa.

Msaada wakuu kwa anayejua size ya radio za gari hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo android ni aina gani ya radio au zinasifa gani zaidi ya radio nyingine??
 
Bei unajua ila size hujui?[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7inch, mimi nilinunua laki3 zipo og na fake,fake ni android lkn ukidownload app zinagoma na hata storage yake pia bado changamoto,uko wapi nikutaftie?
 
mkuu mabwiku nina subwoofer ya gari inayokaaga nyuma kwenye buti nataka niconnect na PC yangu ili nikisikiliza mziki kwa PC na boower lisikike.
Nifanyaje?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…