Sizioni jezi za makolo.

Sizioni jezi za makolo.

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Kuna sehemu nimekuja kupata supu ya kuondoa hangover, tangu saa nne asubuhi nipo hapa sijaona hata mtu mmoja alievaa jezi ya makolo.

Naona wananchi tu wanakatiza mitaa wametupia jezi zao.

Hali ipo hivi hivi na uko maeneo mengine.?
 
Makolo ni timu mbovu sana
20240914_213830.jpg
 
Kuna sehemu nimekuja kupata supu ya kuondoa hangover, tangu saa nne asubuhi nipo hapa sijaona hata mtu mmoja alievaa jezi ya makolo.

Naona wananchi tu wanakatiza mitaa wametupia jezi zao.

Hali ipo hivi hivi na uko maeneo mengine.?
Washachungulia mechi kwa sangoma washajua matokeo ya nini waende kujiongezea presha na safari ya kurudi nyumbani iwe ndefu🤣🤣
 
Wamezivaa kwa ndani wanasubiri miujiza jioni ya saa kumi na mbili wavue mashati na kuziachia sasa..
 
Back
Top Bottom