Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Ni kweli mkuu lakini imenishangaza maana leo ni mechi yao nilitegemea mitaa itachafuka na nyuzi nyeupe na nyekundu.Mambo yao waachie wenyewe
Washachungulia mechi kwa sangoma washajua matokeo ya nini waende kujiongezea presha na safari ya kurudi nyumbani iwe ndefu🤣🤣Kuna sehemu nimekuja kupata supu ya kuondoa hangover, tangu saa nne asubuhi nipo hapa sijaona hata mtu mmoja alievaa jezi ya makolo.
Naona wananchi tu wanakatiza mitaa wametupia jezi zao.
Hali ipo hivi hivi na uko maeneo mengine.?
Kumbe.!Washachungulia mechi kwa sangoma washajua matokeo ya nini waende kujiongezea presha na safari ya kurudi nyumbani iwe ndefu🤣🤣
Kwamba hawana imani na timu yaoWamezivaa kwa ndani wanasubiri miujiza jioni ya saa kumi na mbili wavue mashati na kuziachia sasa..
Waitoe wapi dk90 huna shot on target sio mchezo..Kwamba hawana imani na timu yao