wape wape vidonge vyao.....wakimeza wakitema shauri yao....
Tuliwekeana mimi na Rejao...Hivi nani alikuwekea dhamana? We si ulikuwa lupango?
Mkoa wa shinyanga wilaya ya bariadi vijinini shule yamsingi Lagangabilili!Cantalisia huyu mwalimu Foibe alikuwa mkoa gani?
Haaaa haaa haaa!Kumbe na wewe kakongwe?
Haaa haaaa haaaa!Mwaka huo ndo nlipata mjukuu wangu wa nne....... niamkie!
Hebu nambie kinachokuacha hoi ili niongeze juhudi........kukuacha hoi ndo kazi yangu!
Mkoa wa shinyanga wilaya ya bariadi vijinini shule yamsingi Lagangabilili!
Marahabaaa, jambo iko? mama hajambo?Haaa haaaa haaaa!
Shikamooooo babu Asprin!
Shikamoooo Babu ODM!
Itikia fasta mwenzio nimepiga magoti nasubiri uitikie ninyanyuke lol!
Sisi wamasai huwa hatuvaagi. Kama unabisha njoo PM nikuonyeshe!hapo ulipo haujavaa nguo ya ndani,
then umeegeshea hapo kalaptop duu
Du!polen sana,km ni mzima ipo siku mtaonana tu!tuna dada yetu alipotea home siku nyingi
akawa ameolewa huko arusha
baada ya hapo kwa kweli sijui yuko wapi
Marahabaaa, jambo iko? mama hajambo?
Hajambo kbs!
Vp bibi yetu hajambo?
jamani mbona sielewi kinachoongelewa ktk sredi hii, au ndo kusema nimeignia choo cha kike? na log off
Khaaaa!babu vp?Bibi hajambo, tatizo ujauzito unampelekesha sana!
Aisee! Hapa unazungumzia kukojoa mkojo upi?Hahahaaaa, umeingia cha kike halafu ukakojoa umesimama, oooh! sorry!
Hadithi hii najua kuna wengi wataipita, kwani inawakumbusha mchungu ya kuzikosa ndizi wakaishia kuzzita mbichi, lol
Kaunta ya juu leo week end huwa napanda saa moja jioni mpaka liamba....... yaani saa kumi na mbili nakuwa nailea mimba ya bibi yenu na kufungua njia then ndo naenda kaunta ya juu.Khaaaa!babu vp?
Kwa jibu hili nashawishika kukuuliza km tayari mda huu uko kaunta ya juu?
Aisee! Hapa unazungumzia kukojoa mkojo upi?
BABU namaanisha ile ile ya kawaida inayotumika chooni