Sizitaki Mbichi Hizi!!

Khaaaaa!babu lzm hata km uko hm utakuwa na mizinga kadhaa za mikono juu kichwani!
Basi usiendelee kunielewesha nishakuelewa tayari lol!
Nahic nikiuliza tena pc inaweza kuzima gafla nikashindwa kujua uliandika nn!
Vp babu jpli utaenda kusali wapi?
 

😛hoto:😛hoto:
 
😛hoto:😛hoto:
Nakupendeaga hapo tu kaka, macho yako huwa yanaona mbali sana... Mie yangu macho tu kaka, nilikuchagua uwe msemaji wangu mkuu bt nahisi kazi imeanza kukushinda.. Toa tamko hutoi, umekuwa jk kaka?
 
Shkamoo mwalimu Faiza!

Ulikuwa wapi siku zote hizi? Wansikitisha!

Pendo lawasikitisha, linawa wakata maini.

Usijali nipo.

Unaona kazi nnayoifanya eeenhhh? siku hizi wengi wanapata darsa, mimi nafarijika.
 
Pendo lawasikitisha, linawa wakata maini.

Usijali nipo.

Unaona kazi nnayoifanya eeenhhh? siku hizi wengi wanapata darsa, mimi nafarijika.
Na hilo ndilo neno la Penzi.
 
Thank X-paster kwa kutukumbusha tujifunze lugha yetu . Hivi ilikuwani darasa na nne au la tatu?
 
Mwaka 2014 tutashuhudia sungura wengi pembeni wakisogea, pembeni wakisogea sungura nakuambia
 
hii kwa kumbukumbu zangu mahususi ni darasa la tatu. nakumbuka vizuri wakati nakaa chini tena kwenye vumbi na mawe pale shule ya msingi buzuluga -nyakato mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…