yaani wewe ungepata div 1 sijui ingkuaje?unapenda kuwaponda wenzako utafkir wewe ulipata 1..jaribu kuwa mstaarabu na sio lazima kila uzi uchangie wewe.,kama huna mawazo potezea tu,mimi nitakupa mtu yupo st joseph nina uhakika anakuchana kwa matokeo yako hayo uliopata form 6