Sjui naumwa nini

chigwiye

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
352
Reaction score
59
Wadau tangu jana naskia kende langu la kushoto linamaumivu,nikisimama maumivu makali,nikijinyoosha pia naskia maumivu ghafla then linaacha,ni kama vile linataka ingia ndani.Ni ugonjwa gani huu? umesababishwa na nini? na nini tiba yake ya dharula kabla sjaenda hospitali.Nisaidieni jamani
 
Ni kwa muda gani umekuwa ukipata hayo maumivu? kamuone daktari ndugu..Unavyozidi kukaa na ugonjwa yawezekana ndio tatizo likawa linakuwa. Pole sana
 
pole sana inawezekana ni maumivu ya kawaida yanatokea ila ukiendelea kupata maumivu nenda hospitali.
 

Kwani unapiga punyeto?Kama unapiga acha!
 
Ndio dalili za Busha Hizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…